Saudi Arabia yapiga marufuku adhana, Watoto kuswali misikitini pamoja na sauti za juu

Tunasherekea kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Yesu , kumbuka Yesu alivyo ondoka ndio kalenda unayotumia ya wakristo mpaka simu Yako usipo set kalenda ya wakrito haiwaki

Nimekwambia tembea na mtoto wa miaka saba Ndio utajua sime yangu ya mmsai inauwezo wa kukata makende Kwa mda Gani
Eti alivyoondoka sawa nimekuuliza je trh 25 December ni sawa🤣🤣naona unazunguka
 
Kwani mnasherekea maulidi ya mpiga mbupu katoto Muhammad mnajua tarehe ?

Nimekwambia sogelea katoto Cha miaka 7 jifanye wewe unafuata suna ya Muhammad uone ukali wa sime
 
Katoto kapi maana kwa sasa hata wa miaka 20 unaweza kukuta ni mwanafunzi huko kwa wamasai na wasukuma 🤣🤣
 
Wewe ndie ulisema lizee Muhammad liliwaaambia mtoto wa miaka 7 anajielewa

Sogelea ujue ukali wa sime kwenye makende
 
Unakasirika kabisa 🤣🤣 be soft na jibu bila ya jazba hata muhamad humjui utamuongeleaje mtu humjui?

Miaka ya zamani na Sasa ni tofauti huko umasaini miaka tu 80 watoto walikuwa mpaka miaka 13 wanaolewa hata chini ya hapo na walikuwa na maumbo makubwa 🤣🤣.
 
Majira ya mwaka ndio yameangaliwa
🤣🤣Hata kalenda hujui kusoma eti majira ya mwaka unataka kulimq...Ile ni sherehe ya wachaga sio kuzaliwa kwa yesu ndo maana watu wanaolewa sana 🤣🤣
 
Dhumuni la sherehe ni nini ?
 
Miaka ya zamani na Sasa ni tofauti huko umasaini miaka tu 80 watoto walikuwa mpaka miaka 13 wanaolewa hata chini ya hapo na walikuwa na maumbo makubwa 🤣🤣.
Unathibitisha Muhammad alikuwa nabii wa uongo 😂🤣🤣 Yani kakuta mipumbavu inapinga pumbu watoto likaiga

Sime ya makende ingempitia
 
Attachments

  • 321175633_1185710265373021_6119411479759798516_n.mp4
    4 MB
Sherehe ya wachaga ile ilikuwepo na yesu hakuwahi sherekea 🤣🤣ni sherehe ya walevi
Kaka mpumzishe Huyo jamaa usije kumuua kwa presha😂😂😂Huyo ni kichwa ngumu Sana na ana matango pori aliyokaririshwa sijui Kama anajua kuwa yupo wrong physically and mentally
 
Ewe Mwanadamu kiumbe dhaifu, unapata wapi ujasiri wa kujihesabia haki dhidi ya Mwanadamu mwenzio ilihali hakuna aliyeyajua Mapenzi ya Mungu ni yapi?
Inasikitisha kuona Mwafrika anagawanywa kwa matabaka kwa dini zilizoletwa na Wakoloni kwa maslahi yao ya kiutawala na kibiashara.
Hivi mnaamini kuwa hivyo vizazi vilivyokuwapo kabla ya kuja hizo dini za Wakoloni hawatahesabiwa haki kwa kuwa hawakuabudu kwa njia mlizofundishwa ninyi na hao watawala na wafanyabiashara waliowaletea dini?
Amka Africa, jikomboe kifikra
Shauri yako
 
Wizara ya masuala ya kiislamu ya Saudia ilitangaza sheria mpya za Ramadhani ambazo zinawakera Waislamu wengi duniani kote.

Wizara ya hiyo ilitoa kanuni na vizuizi vya kuadhimisha mwezi mtukufu wa Ramadhani mwaka wa 2023, miongozo hiyo ni pamoja na marufuku ya kutumia vipaza sauti, i'tikafu bila kibali, matangazo ya sala na iftari misikitini.

Waziri wa masuala ya Kiislamu nchini Saudia Dr. Abdullatif Al Alsheikh alitoa waraka kwenda matawi yote ya wizara ya haja ya kuandaa misikiti ya kuwahudumia waumini ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya wizara kuupokea Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.

Aidha kuanzia mwaka huu 2023 sheria mpya ni pamoja na kupiga marufuku michango ya misikiti na marufuku ya milo ya futari baada ya jua kuchomoza misikitini.

Vilevile maombi yanatakiwa kuwa mafupi, watoto hawaruhusiwi kuswali misikitini, viwango vya sauti lazima viwekwe chini, na sala zisitangazwe.

Sheria hiyo mpya ni pamoja na kutorefusha maombi kushikamana na dua fulani. Inapendekezwa pia kusoma vitabu vya kusaidia kuhusu kikundi cha msikiti.

Iwapo kamera zitatumika msikitini, zisitumike kupiga picha za imamu au waabudu wakati wa swala.

Maombi hayapaswi kutangazwa kwenye vyombo vya habari.

========

Wakina Tomaso mnaweza kusoma hapa moja kwa moja kutoka Saudia 👇🏾.

New rules in Mecca: Muslims get upset as there’ll be no prayer call, iftar
Wapo sahihi kwa sababu muumini wa kweli anajua muda wa kusali sio mpk vipaza sauti muda mwingine ni kelele na kero wasaidia wpo sahihi
 
Ninaishi kigogo kuna misikiti mitatu ni kero sn asubuhi adhana zinapigwa Kwa pamoja, saa mbili wapo msikitini wanasali bado Wanatumia vipaza sana , hii ni kero sn
 
Wizara ya masuala ya kiislamu ya Saudia ilitangaza sheria mpya za Ramadhani ambazo zinawakera Waislamu wengi duniani kote.

Wizara ya hiyo ilitoa kanuni na vizuizi vya kuadhimisha mwezi mtukufu wa Ramadhani mwaka wa 2023, miongozo hiyo ni pamoja na marufuku ya kutumia vipaza sauti, i'tikafu bila kibali, matangazo ya sala na iftari misikitini.

Waziri wa masuala ya Kiislamu nchini Saudia Dr. Abdullatif Al Alsheikh alitoa waraka kwenda matawi yote ya wizara ya haja ya kuandaa misikiti ya kuwahudumia waumini ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya wizara kuupokea Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.

Aidha kuanzia mwaka huu 2023 sheria mpya ni pamoja na kupiga marufuku michango ya misikiti na marufuku ya milo ya futari baada ya jua kuchomoza misikitini.

Vilevile maombi yanatakiwa kuwa mafupi, watoto hawaruhusiwi kuswali misikitini, viwango vya sauti lazima viwekwe chini, na sala zisitangazwe.

Sheria hiyo mpya ni pamoja na kutorefusha maombi kushikamana na dua fulani. Inapendekezwa pia kusoma vitabu vya kusaidia kuhusu kikundi cha msikiti.

Iwapo kamera zitatumika msikitini, zisitumike kupiga picha za imamu au waabudu wakati wa swala.

Maombi hayapaswi kutangazwa kwenye vyombo vya habari.

========

Wakina Tomaso mnaweza kusoma hapa moja kwa moja kutoka Saudia 👇🏾.

New rules in Mecca: Muslims get upset as there’ll be no prayer call, iftar
💡Kwa kuwa Al Kaaba Ipo huko.

💡Kwa kuwa dunia nzima huenda huko kutimiza nguzo baada ya kulizunguka jiwe hilo.

💡 Kwa kuwa tukifia huko wakati wa kufanya ibada hiyo ni peponi Moja kwa Moja.

💡 Kwa kuwa hata kwenye ibada tunaangalia kibla ambayo ni uelekeo wa Kaaba iliyopo Saud Arabia.

💡Kwa kuwa hata tukifia tunazikwa kichwa uelekeo wa Saud Arabia

💡 Basi Amri hiyo ni kwa dunia nzima maana wao wapo karibu sana na Mungu, wanapokea maelekezo kutoka mbinguni na kuwapa wafuasi tunafanya Kila kitu kuelekea kwao
 
Back
Top Bottom