ASIWAJU
JF-Expert Member
- Nov 18, 2022
- 1,938
- 1,632
Kama maswali ya kitoto usinge shiriki toka awali unge yapuuza, jitahidi kuficha ujinga wako kupitia maandishi yako.Nimekudharau ndio !! Unauliza vip maswali ya kitoto?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama maswali ya kitoto usinge shiriki toka awali unge yapuuza, jitahidi kuficha ujinga wako kupitia maandishi yako.Nimekudharau ndio !! Unauliza vip maswali ya kitoto?
Lazima nikucheke ili ujitambue siku nyingine haya ni maneno tu naona ushapotea ...uislamu uutoe wapi?Kama maswali ya kitoto usinge shiriki toka awali unge yapuuza, jitahidi kuficha ujinga wako kupitia maandishi yako.
Dini ya kiisilamu inafuata Quran na Sunnah. Na pia Dini haijatokea Saudi, hii ni misconception tu, House of Al saud na Waingereza wali Conquer lile eneo la Makkah na Madina, ni kama Leo uisilamu ungekua Donbass mtu baada ya miaka kadhaa mtu aseme uisilamu umetoka Urusi.Ilipotokea dini wameona ni kero, wenzetu sasa kerooo
Mtu anafunga mwenyewe afu anasumbua wengine
Issue ya Kuswali kwa Sauti ama Sauti kali toka Misikitini si part ya uisilamu, mtume kakataza na Dalili zipo wazi. Wengi wanafanya kwa utashi wao tu. Misikiti ya kisunna mingi hata hapa Tanzania huwa hawatumii outdoor speaker kuswali ama kutoa mawaidha, hii ndio Sunnah ya mtume wetu (S.A.W)jamii yoyote iliyostaarabika haina makelele haya. mi nimekaa uarababuni adhana ila ya alfajiri nimesikia haizidi mara kumi na nimekaa miaka 4 ila sasa tanzania ni kama mashindano ya kuwapa watu karaha
Kariakoo hadi tunaita polisi sometime, saa 12 asubuhi mumelala inakuja mikokoteni na Jenereta, speaker za Disco zile mnaamka mtaa mzima, watoto wanalia usingizi hauji, hapo hado defender lije.Unataka kutoa kibanzi kwenye jicho la mwenzako wakati kwako Kuna gunzi limetuna kwenye jicho huo Ni unafiq...
Anza kuwaambia wasabato,walokole na waroma wenzio waondoe makengele na masabufa wanayokesha nayo...kutupigia kelele
Hasira za nini mdg muafrika!Leta source hapa acha uongo ....Danganya watoto wadogo🤣🤣
Yaani jitu linatumika nguvu ili sisi wala hatuna time kule German kubariki mashoga kanisani wala hatuanzishi Uzi.
Basi roho inauma anaamua kutunga🤣🤣
Mostly hii ni misikiti ya Bakwata, Mlaumu Nyerere na Serikali ya CCM wenye version yao uisilamu. Misikiti mingi ya Kisunna na ambayo inafuata uisilamu bila kushirikisha na Mila zao wana mifumo tofauti.SWALI; Hizo sharia mnaweza kuzitumia hata hapa afrika mashariki kama Tanzania hususani Zanzibari?
Yaani mtaa mmoja una misikitini mitano na yote wakati wa adhana inapiga kelele, unadhani inawezekana kusitisha au kupunguza hayo makelele ya spika ikabaki sauti kutoka msikiti mmoja?
Tunaishi na Technology kubwa kabisa, sasa hivi tuna Artifical intelligence ya Hali ya juu, Mi computer yenye uwezo kedekede ila inabaki Quran moja tu.God is not religion and religion is not God.
Hukuwa umejua kabla?
Ni wajanja wachache walikaa chini kuunda Dini kwa maslahi yao binafsi ku control wengine...
Safi sana mkuu nadhani wewe ni mmoja wa waislam wenye akili za pekee sana.Mostly hii ni misikiti ya Bakwata, Mlaumu Nyerere na Serikali ya CCM wenye version yao uisilamu. Misikiti mingi ya Kisunna na ambayo inafuata uisilamu bila kushirikisha na Mila zao wana mifumo tofauti.
Leta hapa sijaona kabisa ..Naona ni porojo unataka tufananeHasira za nini mdg muafrika!
Pale chini kabisa ya mada umewekewa link kasome ila siyo kiarabu ni kimarekani.
Kwa hiyo na Mimi niandike jibu lile lile!?..Mimi siyo kichaa,Nina uelewa,mtu akinieleza nang'amua mantikiNasubiri jibu lako.
Ikitumika yote Kuna shida gani!?..Kuna mtu kaugua kwa wingi wa adhana!?..mbona Kuna makelele ya miziki kutwa Kama ni huko kkooSafi sana mkuu nadhani wewe ni mmoja wa waislam wenye akili za pekee sana.
Sasa basi tukitoa hiyo misikiti ya Nyerere na CCM, hii inayobaki yaani ya kisunna inafuata na kusimamia uislam as mtaa mmoja kuwa na misikitini 7 na mmoja tu ndiyo utumike kuita watu kuswali na siyo yote?.
Cha MakandeSaudia hawajui dini sisi wamatumbi ndio tunafahamu kuran, saudia imetekwa na marekani alisikika mvaa kobaz mmoja baada ya kushiba kiporo.
Hakiwezi kutokea uzi mchungu kwakeKuna kibibi flani hivi kitakuja hapa, subirini
Saudi Arabia ndiyo chimbuko la dini yenu na ndipo penye point ambayo mnaigeukia Toka pande zote za dunia mkiswali, Saudi Arabia ndiko mnakoenda hija Toka pande zote za dunia mkipeleka mapato makubwa sana kule ( chanzo number mbili Cha mapato kwa Saudi Arabia ikitanguliwa na Mafuta) tukisikia tamko lolote Toka kule tunaliamini kuwa Lina influence kwenye Imani yenu duniani, tofauti na likitoka Yemen au Algeria (mifano). Sisi wengine ni wasikilizaji tuSaudi Arabia ni nchi kibaraka wa marekani hilo halina shaka wanachoshindwa na hatoweza ni kubadili Qur an.
Unyama mpaka huyo mzee asaudiy anapewa nchi Kuna mambo yamefanyika.
Kumbuka hata mauaji ya yule mwandishi pale ikulu Jamal khashong Kuna uislamu unaruhusu huuu ujinga?
Usiwe na chuki sisi tunafuata Qur an sio Saudi Arabia !!
Usieneze chuki wala hatutaki kupambanisha na nyie .
"Nyie mna dini yenu na sisi tuna dini yetu" hapa tunawaambia washirikina na mayahudi
Hamna hoja kama Kaaba ilikuwepo kabla ya kuja mtume ...Hakuna uhusiano wowote hata nyie chimbuko lenu ni uingereza na Italy ambapo haha yesu hakutia pua yake na wale mapapa wanakula kwa michango yenu.Saudi Arabia ndiyo chimbuko la dini yenu na ndipo penye point ambayo mnaigeukia Toka pande zote za dunia mkiswali, Saudi Arabia ndiko mnakoenda hija Toka pande zote za dunia mkipeleka mapato makubwa sana kule ( chanzo number mbili Cha mapato kwa Saudi Arabia ikitanguliwa na Mafuta) tukisikia tamko lolote Toka kule tunaliamini kuwa Lina influence kwenye Imani yenu duniani, tofauti na likitoka Yemen au Algeria (mifano). Sisi wengine ni wasikilizaji tu
Niliwahi muambia mleta uzi huu katika uzi fulani mwengine kuwa anasumbuliwa na IslamophobiaHuo ni uongo na chanzo chako ni wasema uongo. Kilichotangazwa kingine wao wameandika kingine (spinning).
Hii hapa habari kamili na ya kweli 👇🏾
RAMADHANI
Wizara ya Saudi inawaonya maimamu kuhusu kukusanya michango kwa ajili ya Ramadhani Iftar
![]()
Watu wakitembea katika eneo la kihistoria la Jeddah Al-Balad wakati wa mwezi mtukufu wa mfungo wa Ramadhani, Saudi Arabia Juni 9, 2016. Faisal Al Nasser, Reuters
Reuters Images
Dk. Al-Sheikh ameagiza kwamba maimamu na Muadhini lazima wafuate utaratibu kamili wa kazi zao, na waepuke utoro ndani ya Ramadhani isipokuwa lazima kabisa.
Mwandishi wa Watumishi , Gazeti la Saudia
Machi 6, 2023
KISHERIASAUDI ARABIARAMADHANI
RIYADH - Wizara ya Masuala ya Kiislamu imewaonya maimamu na Muadhini kwamba kukusanya michango ya fedha kwa ajili ya miradi ya Iftar kwa watu waliofunga na wengine katika Ramadhani ni marufuku.
Waziri wa Masuala ya Kiislamu, Wito na Miongozo Sheikh Dk Abdullatif Al-Sheikh ametoa waraka kwa matawi yote ya Wizara kuhusu haja ya kuandaa misikiti ya kuwahudumia waumini, ikiwa ni maandalizi ya kuupokea Mwezi Mtukufu wa Ramadhani 1444AH.
Dk. Al-Sheikh ameelekeza kwamba maimamu na muadhini lazima washikamane na utaratibu kamili katika kazi zao, na kuepuka utoro katika Ramadhani isipokuwa lazima kabisa.
Iwapo maimamu au Muadhini watakosekana, basi ni lazima wampangie mtu wa kufanya kazi hiyo wakati wa kutokuwepo, Dk. lazima ichukue kutokiuka wajibu. Kutokuwepo hakutazidi muda unaoruhusiwa.
Dakta Al-Sheikh aliwataka maimamu na muadhini kushikamana na Kalenda ya Ummu Al-Qura, na kuinua adhana (wito wa kuswali) ya swala ya isha kwa wakati wake ndani ya Ramadhani, na kutekeleza iqamah ya sala kulingana na muda ulioidhinishwa kwa kila mmoja. maombi.
Pia lazima wawe wanazingatia masharti ya watu katika swala ya Tarawih, kukamilika kwa sala ya Tahajjud katika siku 10 za mwisho za Ramadhani na muda wa kutosha kabla ya adhana ya Alfajiri, kwa hivyo haitakuwa ngumu kwa waja.
Zaidi ya hayo, maimamu na muadhini walitakiwa kushikamana na mwongozo wa Mtume katika Dua ya Qunot “Duaa” katika Swala ya Tarawih na kutorefusha, na kuwekewa mipaka kwenye Jawame Duaa na dua sahih, na kuepuka tenzi na kiimbo.
Kusoma baadhi ya vitabu muhimu kwenye kundi la msikiti, kulingana na duru zinazoidhibiti, ni muhimu.
Kamera zilizowekwa zisitumike kwa madhumuni ya kumpiga picha imamu na waabudu wakati wa utekelezaji wa sala, kulingana na maagizo yaliyotolewa kuhusu udhibiti wa kufunga kamera katika misikiti.
Kusambaza sala au kuzitangaza katika vyombo vya habari vya aina zote pia ni marufuku.
Dakta Al-Sheikh amesema kuwa imamu ndiye mwenye jukumu la kuidhinisha itikafu, kuthibitisha kuwa hakuna ukiukwaji kutoka kwao, na kujua data za itikafu.
Kwa mujibu wa maagizo yaliyoarifiwa mapema kuhusu udhibiti wa itikafu, imamu lazima aombe idhini ya mfadhili aliyeidhinishwa kwa wasiokuwa Wasaudi wanaotaka kufanya itikafu.
Waziri huyo alisema kwamba Iftar kwa watu waliofunga - ikiwa ipo - iwe katika sehemu zilizotayarishwa kwa ajili hiyo katika nyua za msikiti, na chini ya jukumu la imamu na muadhini.
Mwenye jukumu la Iftar kwa watu waliofunga asafishe mahali hapo mara baada ya kumaliza Iftari. Ni muhimu sio kuunda vyumba vya muda au hema na kadhalika kushikilia Iftar ndani yao.
Dk Al-Sheikh amewataka waumini kutofuatana na watoto kwani jambo hilo litawasumbua waumini na kuwafanya wapoteze heshima yao.
Watumishi wa Misikiti na taasisi za matengenezo lazima waongeze juhudi na kazi zao maradufu, ili kuhakikisha kuwa misikiti inakuwa safi na imeandaliwa, pamoja na kuhakikisha usafi wa vyumba vya kuswalia vya wanawake misikitini, kama ilivyoelekezwa na matawi ya Wizara.
Waangalizi walitakiwa kufuatilia utekelezaji wa maagizo haya, na kuwasilisha ripoti za kila siku za ziara zao kwenye marejeo yao, na taarifa ya uchunguzi unaofuatiliwa - ikiwa ipo, ili kuyashughulikia mara moja.
© Hakimiliki 2022 Gazeti la Saudia. Haki zote zimehifadhiwa. Imetolewa na SyndiGate Media Inc. ( Syndigate.info ).
Disclaimer: The content of this article is syndicated or provided to this website from an external third party provider. We are not responsible for, and do not control, such external websites, entities, applications or media publishers. The body of the text is provided on an “as is” and “as available” basis and has not been edited in any way. Neither we nor our affiliates guarantee the accuracy of or endorse the views or opinions expressed in this article. Read our full disclaimer policy here.
![]()
Ni kwa sababu Islamophobia inakusumbua.
Ila Sifa zote njema ni za Allah, maradhi haya mabaya muanzisha uzi hawezi kuyaficha. Ndio maana alipoona taarifa ambayo inampendeza (ambayo anaona itamsaidia katika kuupiga vita Uislam) akaileta bila ya kuihakiki kama ni ya kweli.Usitake niandike upuuzi yankee!
Hapo katajwa nani kwenye reply yangu?, Usiwashwe tafadhali sana, uzee umetamaradi sijui kukuna.
Tunaipenda Saudia. Allah ailinde Saudia na awaongoze watawala wake.Saudi Arabia ndiyo chimbuko la dini yenu na ndipo penye point ambayo mnaigeukia Toka pande zote za dunia mkiswali, Saudi Arabia ndiko mnakoenda hija Toka pande zote za dunia mkipeleka mapato makubwa sana kule ( chanzo number mbili Cha mapato kwa Saudi Arabia ikitanguliwa na Mafuta) tukisikia tamko lolote Toka kule tunaliamini kuwa Lina influence kwenye Imani yenu duniani, tofauti na likitoka Yemen au Algeria (mifano). Sisi wengine ni wasikilizaji tu