Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Aisee FaizaFoxy akiona hii umeishaWaliotuletea uislam wamefuta adhana kisa ina makelele haya kazi kwetu sisi na misikiti yetu kila baada ya nyumba kumi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee FaizaFoxy akiona hii umeishaWaliotuletea uislam wamefuta adhana kisa ina makelele haya kazi kwetu sisi na misikiti yetu kila baada ya nyumba kumi
🤣🤣🤣Anhaa! Kumbe unaweza utenganisha uislam na Saudia Arabia, sawa nimekuelewa.
Tuachane na historia ya uislam maana nitakupeleka mbali sana.
Tuanzie hapa.
Nguzo kuu tano za uislam ni zipi ?
Ridhika na Mimi ntakupa maswali ukijibu naslimu hapa maana maaskofu wako dunia nzima wameshindwa kujibu.Nauliza tena lile lile swali. Je, unaweza utenganisha uislam na Saudia Arabia ?
Nasubiri jibu lako.
Kipi kilicho kuchekesha kabla hatuja fika mbali sana ?🤣🤣🤣
1.shahada ( kukubali Mungu ni mmoja)
2.kusimamisha swala.
3.kutoa zakaa
4.kufunga mwezi wa Ramadhani.
5.kwenda kuhiji makka ( kwa aliye na uwezo)
Maaskofu wa nani ?Ridhika na Mimi ntakupa maswali ukijibu naslimu hapa maana maaskofu wako dunia nzima wameshindwa kujibu.
Kasome post #54HAPANA.
Usilolijua ni sawa na usiku wa giza.
Sichukii uislam kama akili yako inavyokutuma, naishi na kufanya kazi na waislam na hata msikitini naingia kuswali na kwa taarifa yako mimi sipelekwi na mapokeo aliki yangu ilishafunguka kutokana na hizi dini, mwisho nipo makini sana.
Hiyo ndiyo taarifa ya kweli kutoka Saudia siyo Tanganyika wala Zanzibar wewe upo huko kilitonganya village unaumia ukidhani sheria hiyo itatumika hadi huko kijijini kwenu.
maboya wananikera man, na visauti vyao utazani vya aera madukaniMara utasikia,,, Hilo shuka ulilojifunika ndio Sanda yako
Fika huko mbali maana swali lako nishalijua unataka kuuliza nguzo ya kuhij ili urelate na Saudi Arabia. Uliza chochote !Kipi kilicho kuchekesha kabla hatuja fika mbali sana ?
Geti linafungwa asubuhi wakati farasi kishatoka tangu Alfajiri …Allah KareemSaudia hawajui dini sisi wamatumbi ndio tunafahamu kuran, saudia imetekwa na marekani alisikika mvaa kobaz mmoja baada ya kushiba kiporo.
Viongozi wako maana najua wewe kichwa hamna kitu ukijibu naslimu hapa...Maana mokiti kakimbia yule masaiMaaskofu wa nani ?
Huwa sipendi mtu anaye jichekesha kama mpumbavu katika mazungumzo yaliyo serious huwa ana ondoa dhana nzima ya userious wa hayo mazungumzo.Fika huko mbali maana swali lako nishalijua unataka kuuliza nguzo ya kuhij ili urelate na Saudi Arabia. Uliza chochote !
Defensive mechanism achana na kuchekesha maana sio cha maana unauliza maswali ya kitoto..ungekuwa unajielewa usingeuliza maswali ya kitotoHuwa sipendi mtu anaye jichekesha kama mpumbavu katika mazungumzo yaliyo serious huwa ana ondoa dhana nzima ya userious wa hayo mazungumzo.
Jitahidi kuficha ujinga wako, ni bora unge uliza hata dini au imani ya mtu unaye jadiliana naye kuliko kutoa hilo hitimisho la mimi kuwa chini ya uongozi wa maaskofu.Viongozi wako maana najua wewe kichwa hamna kitu ukijibu naslimu hapa...Maana mokiti kakimbia yule masai
Kweli ?.....Saudia ni taifa la kiislamu, hata huo ufalme hutawala kwa sheria za kiislamuWengi hata hamjui kuwa Saudia Arabia inaoongozwa taratibu za kifalme na kwamba Kuna baadhi ya sheria za kiislam TU ndio hutumika...
Kwako kucheka katika mazungumzo hakuna maana yoyote lakini kwangu ni tafsiri ya dharau.Defensive mechanism achana na kuchekesha maana sio cha maana unauliza maswali ya kitoto..ungekuwa unajielewa usingeuliza maswali ya kitoto
Na wewe nae unasapot ujinga.Jitahidi kuficha ujinga wako, ni bora unge uliza hata dini au imani ya mtu unaye jadiliana naye kuliko kutoa hilo hitimisho la mimi kuwa chini ya uongozi wa maaskofu.
Uwezo wako wa kifikra hudhani kila anaye kuuliza maswali tatanishi kuhusu imani yako basi ni mkristo dunia imekwisha hama kwenye huo ujinga jitahidi nawe uhame.
Nimekudharau ndio !! Unauliza vip maswali ya kitoto?Kwako kucheka katika mazungumzo hakuna maana yoyote lakini kwangu ni tafsiri ya dharau.
Katika hayo maswali niliyo kuuliza unaona kuna mahali nime jichekesha kama punguani ?