Mwingine huyo taarifa inatolewa wewe unaita chuki! Mnamatatizo sana nyie.Saudi Arabia ni nchi kibaraka wa marekani hilo halina shaka wanachoshindwa na hatoweza ni kubadili Qur an.
Unyama mpaka huyo mzee asaudiy anapewa nchi Kuna mambo yamefanyika.
Kumbuka hata mauaji ya yule mwandishi pale ikulu Jamal khashong Kuna uislamu unaruhusu huuu ujinga?
Usiwe na chuki sisi tunafuata Qur an sio Saudi Arabia !!
Usieneze chuki wala hatutaki kupambanisha na nyie .
"Nyie mna dini yenu na sisi tuna dini yetu" hapa tunawaambia washirikina na mayahudi