Saudi Arabia yapiga marufuku adhana, Watoto kuswali misikitini pamoja na sauti za juu

hii sentence nimeipenda: Vilevile maombi yanatakiwa kuwa mafupi, watoto hawaruhusiwi kuswali misikitini, viwango vya sauti lazima viwekwe chini, na sala zisitangazwe.
 
Wizara ya masuala ya kiislamu ya Saudia ilitangaza sheria mpya za Ramadhani ambazo zinawakera Waislamu wengi duniani kote.

Wizara ya hiyo ilitoa kanuni na vizuizi vya kuadhimisha mwezi mtukufu wa Ramadhani mwaka wa 2023, miongozo hiyo ni pamoja na marufuku ya kutumia vipaza sauti, i'tikafu bila kibali, matangazo ya sala na iftari misikitini.

Waziri wa masuala ya Kiislamu nchini Saudia Dr. Abdullatif Al Alsheikh alitoa waraka kwenda matawi yote ya wizara ya haja ya kuandaa misikiti ya kuwahudumia waumini ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya wizara kuupokea Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.

Aidha kuanzia mwaka huu 2023 sheria mpya ni pamoja na kupiga marufuku michango ya misikiti na marufuku ya milo ya futari baada ya jua kuchomoza misikitini.

Vilevile maombi yanatakiwa kuwa mafupi, watoto hawaruhusiwi kuswali misikitini, viwango vya sauti lazima viwekwe chini, na sala zisitangazwe.

Sheria hiyo mpya ni pamoja na kutorefusha maombi kushikamana na dua fulani. Inapendekezwa pia kusoma vitabu vya kusaidia kuhusu kikundi cha msikiti.

Iwapo kamera zitatumika msikitini, zisitumike kupiga picha za imamu au waabudu wakati wa swala.

Maombi hayapaswi kutangazwa kwenye vyombo vya habari.

========

Wakina Tomaso mnaweza kusoma hapa moja kwa moja kutoka Saudia 👇🏾.

New rules in Mecca: Muslims get upset as there’ll be no prayer call, iftar
Ungechunguza kwanza habari yako,siyo chuki yako kwa uislam ikupeleke puta
 
Mzee mbona makanisa yanafanya, madisco ..

Kuna adhana inayochukua hata dk 10 jamani. Mbona watu wanakesha kabisa..
Kama kuna kanisa linalofanya disco badala ya ibada katika eneo lako tafadhali toa ushirikiano tuje tulifungie haraka sana.

Nadhani hujajifunza kutoka kule banana kwa suguye.

Pili; issue siyo dakika 10 au 2, ni hizo kitu siyo na hazipo ktk misingi ya uislam.

Tatu; Hao wanaokesha je, wanakero yoyote katika eneo lako? °kama kuna kero as kelele njoo hapa ofisi ya mkuu wa wilaya yako toa taarifa tuje kuisimamia sheria ya uchafuzi wa mazingira!.
 
Hamna hoja za maana ni kwamba sio kanisa kwamba linafanywa disco ila zipo disco ,hata sehemu za starehe.

Inakuwaje ile adhana inakukura kama haikuhusu hiyo ndo religion tolerance
. inakuwaje uzuie watu uhuru wa kuabudu mbona mnaiba watu hawasemi?

Na hata ulichaondika hakina uhalisia ni porojo wapi wamezuia kama sio maoni.

Jaribu kujiamini sio kuleta uongo kwa kivuli cha kutojiamini eti kukashifi sehemu adhana zipo hakuna sehemu imekatwa.

Kero ya nn kama sio umbea na shobo mtu afanye kweny eneo lake wewe yanakuhusu nn? Pasingekuwa na bars basi wala kumbi za shehere .

Wapi adhana imepigwa marufuku?
 
Ungechunguza kwanza habari yako,siyo chuki yako kwa uislam ikupeleke puta
HAPANA.
Usilolijua ni sawa na usiku wa giza.

Sichukii uislam kama akili yako inavyokutuma, naishi na kufanya kazi na waislam na hata msikitini naingia kuswali na kwa taarifa yako mimi sipelekwi na mapokeo aliki yangu ilishafunguka kutokana na hizi dini, mwisho nipo makini sana.

Hiyo ndiyo taarifa ya kweli kutoka Saudia siyo Tanganyika wala Zanzibar wewe upo huko kilitonganya village unaumia ukidhani sheria hiyo itatumika hadi huko kijijini kwenu.
 
Hamna hoja za maana ni kwamba sio kanisa kwamba linafanywa disco ila zipo disco ,hata sehemu za starehe.

Inakuwaje ile adhana inakukura kama haikuhusu hiyo ndo religion tolerance, inakuwaje uzuie watu uhuru wa kuabudu mbona mnaiba watu hawasemi?

Na hata ulichaondika hakina uhalisia ni porojo wapi wamezuia kama sio maoni.

Jaribu kujiamini sio kuleta uongo kwa kivuli cha kutojiamini eti kukashifi sehemu adhana zipo hakuna sehemu imekatwa.

Kero ya nn kama sio umbea na shobo mtu afanye kweny eneo lake wewe yanakuhusu nn? Pasingekuwa na bars basi wala kumbi za shehere .
Wapi adhana imepigwa marufuku?
Naona hasira zote umeona umalizie kwangu ndg muislam mtukufu.

Mimi siye niliyetoa hiyo sharia ni serikali ya mji wa Saudia kupitia waziri wa masuala ya kiislam, so unatamani hata kunichinja siyo, njoo geita na jambia!.

Najua hasira zote ni kwa sababu imeandikwa uislam, vipi kama ungetajwa jina lako hizo hasira nadhani hadi ungeanzisha jihad!. 😂 >Pole.
 
Najua hasira zote ni kwa sababu imeandikwa uislam, vipi kama ungetajwa jina lako hizo hasira nadhani hadi ungeanzisha jihad!. [emoji23] >Pole.
Muislam mtukufu [emoji23]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Wizara ya masuala ya kiislamu ya Saudia ilitangaza sheria mpya za Ramadhani ambazo zinawakera Waislamu wengi duniani kote.

Wizara ya hiyo ilitoa kanuni na vizuizi vya kuadhimisha mwezi mtukufu wa Ramadhani mwaka wa 2023, miongozo hiyo ni pamoja na marufuku ya kutumia vipaza sauti, i'tikafu bila kibali, matangazo ya sala na iftari misikitini.

Waziri wa masuala ya Kiislamu nchini Saudia Dr. Abdullatif Al Alsheikh alitoa waraka kwenda matawi yote ya wizara ya haja ya kuandaa misikiti ya kuwahudumia waumini ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya wizara kuupokea Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.

Aidha kuanzia mwaka huu 2023 sheria mpya ni pamoja na kupiga marufuku michango ya misikiti na marufuku ya milo ya futari baada ya jua kuchomoza misikitini.

Vilevile maombi yanatakiwa kuwa mafupi, watoto hawaruhusiwi kuswali misikitini, viwango vya sauti lazima viwekwe chini, na sala zisitangazwe.

Sheria hiyo mpya ni pamoja na kutorefusha maombi kushikamana na dua fulani. Inapendekezwa pia kusoma vitabu vya kusaidia kuhusu kikundi cha msikiti.

Iwapo kamera zitatumika msikitini, zisitumike kupiga picha za imamu au waabudu wakati wa swala.

Maombi hayapaswi kutangazwa kwenye vyombo vya habari.

========

Wakina Tomaso mnaweza kusoma hapa moja kwa moja kutoka Saudia 👇🏾.

New rules in Mecca: Muslims get upset as there’ll be no prayer call, iftar
Siwezi kuamnini hizo source za kifala na kishoga ingekuwa aljazeera sawa
 
Saudi Arabia ni nchi kibaraka wa marekani hilo halina shaka wanachoshindwa na hatoweza ni kubadili Qur an.

Unyama mpaka huyo mzee asaudiy anapewa nchi Kuna mambo yamefanyika.

Kumbuka hata mauaji ya yule mwandishi pale ikulu Jamal khashong Kuna uislamu unaruhusu huuu ujinga?

Usiwe na chuki sisi tunafuata Qur an sio Saudi Arabia !!

Usieneze chuki wala hatutaki kupambanisha na nyie .

"Nyie mna dini yenu na sisi tuna dini yetu" hapa tunawaambia washirikina na mayahudi
Saudia ni kibaraka
 
Naona hasira zote umeona umalizie kwangu ndg muislam mtukufu.

Mimi siye niliyetoa hiyo sharia ni serikali ya mji wa Saudia kupitia waziri wa masuala ya kiislam, so unatamani hata kunichinja siyo, njoo geita na jambia!.

Najua hasira zote ni kwa sababu imeandikwa uislam, vipi kama ungetajwa jina lako hizo hasira nadhani hadi ungeanzisha jihad!. 😂 >Pole.
Tuonyeshe wapi? Mbona hamna nimesoma hizo sheria🤣🤣

Yaani utunge mwenyewe
 
HAPANA.
Usilolijua ni sawa na usiku wa giza.

Sichukii uislam kama akili yako inavyokutuma, naishi na kufanya kazi na waislam na hata msikitini naingia kuswali na kwa taarifa yako mimi sipelekwi na mapokeo aliki yangu ilishafunguka kutokana na hizi dini, mwisho nipo makini sana.

Hiyo ndiyo taarifa ya kweli kutoka Saudia siyo Tanganyika wala Zanzibar wewe upo huko kilitonganya village unaumia ukidhani sheria hiyo itatumika hadi huko kijijini kwenu.
Leta source hapa acha uongo ....Danganya watoto wadogo🤣🤣

Yaani jitu linatumika nguvu ili sisi wala hatuna time kule German kubariki mashoga kanisani wala hatuanzishi Uzi.

Basi roho inauma anaamua kutunga🤣🤣
 
HAPANA.
Usilolijua ni sawa na usiku wa giza.

Sichukii uislam kama akili yako inavyokutuma, naishi na kufanya kazi na waislam na hata msikitini naingia kuswali na kwa taarifa yako mimi sipelekwi na mapokeo aliki yangu ilishafunguka kutokana na hizi dini, mwisho nipo makini sana.

Hiyo ndiyo taarifa ya kweli kutoka Saudia siyo Tanganyika wala Zanzibar wewe upo huko kilitonganya village unaumia ukidhani sheria hiyo itatumika hadi huko kijijini kwenu.
Hapa umeonesha ni kiasi gani u-bogus
 
Kuna sheh hapa jirahi hapa naona kabisa ni makusudi...
Anaanza kwa sauti kubwa mno mno kama umelala lazima uamke..
Sauti anafungulia mwisho
Nalalaga madirisha wazi asubuh nafunga kwa ajili ya hio sijui ndo azana asee Ni kero Bora maneno ya kiswahili usikie hata wanasema nini
 
Unaweza ndio kwani Saudi ni wote waislamu !

Una maana saudia ndo uislamu wakatik uislamu ni Qur an na Hadith sahili
Anhaa! Kumbe unaweza utenganisha uislam na Saudia Arabia, sawa nimekuelewa.

Tuachane na historia ya uislam maana nitakupeleka mbali sana.

Tuanzie hapa.

Nguzo kuu tano za uislam ni zipi ?
 
Saudi Arabia haihusiki na uislam,isipokua msikiti mtakatifu wa Makkah,wakati wa mtume hapakuwepo na nchi iitwayo Saudi Arabia Bali miji Dola Kama Makkah, Madina,twa'if...Kama ilivyokua iringa ya mkwawa
Nauliza tena lile lile swali. Je, unaweza utenganisha uislam na Saudia Arabia ?

Nasubiri jibu lako.
 
Back
Top Bottom