Saudi Arabia yatangaza kujenga mji bila barabara

Saudi Arabia yatangaza kujenga mji bila barabara

Gharama za kujenga mji huo sasa, zaidi ya dola bil.500 ukibadirisha kwa hela yetu ya madafu ni zaidi ya Trilioni elfu moja(Trilioni Tsh 1000). Fedha nyingi sana aiseeeee!
 
Nakumbuka Chadema kwenye kampeni walitoa ahadi ya kujenga mji bila majengo.
 
Siku hizi kuna magari ya umeme yasiyochafua mazingira na umeme wa solar au hydroelectric power
 
Ssisi acha tukomae na hospital za rufaa na VETA CHATO, then tutajenga mji angani usio na wachagga.watajaa wasukuma tu.
Weee huko angani zitajaa yeboyebo za njano tu...maana wasukuma wanapenda yeboyebo kuliko kitu kingine chochote
 
Back
Top Bottom