Saudi Arabia yawapiga pini mahujaji wa Iran

Saudi Arabia yawapiga pini mahujaji wa Iran

Makafir hata enzi za Mtume walikuwepo lkn haikuzuia uislamu kufika hadi Ulaya na Africa. Kama wewe ni mkiristo jitahidi sana ukifa ufe ukiwa muislam vyenginevyo utajuta kwanini ulibaki ktk ukiristo wako
Wewe naona unawatafutia watu njia ya kwenda 🔥 Hiyo dini ya waarabu haitakuingiza peponi. Never.

John 14:6
 
Kwa hiyo, hii ndiyo unautangaza uislam kwa matusi?

Kila nikiisoma hii statement naajikuta nikirudi nyuma mita milioni 1

Qr. 50 au Surat Qaf 30 (kuapa)
Siku tutakayoiambia Jahanamu, ‘Je! Umejaa?’ Nayo itasema ‘Je kuna ziada (zaidi? Naije tu!
Imesimuliwa na Anas kuwa: Mtume alisema watu watatupwa jahanamu, Naye Allah ataiuliza jahanamu akisema je umejaa nayo jahanamu itasema kwani kuna nyingine zaidi na ije tu? Mpaka Allah atakapo ingiza mguu wake nayo jahanamu itasema inatosha! Inatosha

Kwa hiyo naye huyo allah hatima yake ni huko jehanum ili aijaze.
 
Makafir hata enzi za Mtume walikuwepo lkn haikuzuia uislamu kufika hadi Ulaya na Africa. Kama wewe ni mkiristo jitahidi sana ukifa ufe ukiwa muislam vyenginevyo utajuta kwanini ulibaki ktk ukiristo wako
Kama wewe ni muislamu. Ndg yangu jitahidi sana tena sana ufe katika Kristo Yesu. Kwa maana hakuna wokovu kwa mtume awaye yote wala nabii awaye yote, bali wokovu wapatikana kwa Yesu. Tena huyo ndiye atakaye wahukumu wanadamu wote siku ya mwisho. Muhamadi atahukumiwa na Yesu maana ni mfalme. 2 Timoth 4:1. Yohana 5:22. Pia soma maneno ya Bwana Yesu mwenyewe MATHAYO 25:31-41. Kama wewe ulimkataa Yesu moto wa jehanamu unakuhusu pamoja na mtume wako unayemwombea daily.
 
Raia wa Iran hawaruhusiwi kwenda kuhiji Saudi, hawatapata fursa ya kwenda kupiga shetani mawe......
Huwa sielewi kwwanini hija zinafanyika SA badala ya Jerusalem wanakosema ndiko kuna msikiti mkubwa wa historia
 
Ukinisaidia kuelewa zaidi nitashukuru
“... Na Mwenyezi Mungu amewawajibishia watu wafanye Hija katika Nyumba hiyo (Al-Ka’aba), yule awezaye kufunga safari kwenda huko. Na atakayekanusha (asiende na hali ya kuwa ana uwezo) basi Mwenyezi Mungu si muhitaji anayewahitajia walimwengu ”(3:9 7).
 
🙏
 
Kwanini ifanyike tu SA
Maagizo yalitoka wapi
Historia nzima ya hija kufanyika SA tu na siyo Jerusalem
Hija ni sehem ya nguzo pia ya uislam kwenye zile nguzo tano
Mtume s.a.w alienda kuhiji makka na sio maitul muqaddas kama unavyotaka twende huko
Kwahio amri yakuhiji imeamriwa iwe makka sio kwengine
Nadhani juu hapo ushaletewa tayar ushahidi
 
Kwani nyinyi Pop kawaahidi nini kupigwa nao?? Naona hiyo 72 imekuuma sana,kama vile ukiwa mbele ya Gays na unaongelea kuowa uone watakavoumia.
Twende taratibu,kwani ni kweli kuna ahadi ya kufanya ngono na mabikra 72 kwenye maandiko yenu matakatifu? TUANZIE HAPA KWANZA
 
Makafir hata enzi za Mtume walikuwepo lkn haikuzuia uislamu kufika hadi Ulaya na Africa. Kama wewe ni mkiristo jitahidi sana ukifa ufe ukiwa muislam vyenginevyo utajuta kwanini ulibaki ktk ukiristo wako
Yaan Mungu ninaemjua Mimi akaniandalie bikira na pombe kweli huyo atakuwa sio
 
Kwa hiyo, hii ndiyo unautangaza uislam kwa matusi?

Kila nikiisoma hii statement naajikuta nikirudi nyuma mita milioni 1

Qr. 50 au Surat Qaf 30 (kuapa)
Siku tutakayoiambia Jahanamu, ‘Je! Umejaa?’ Nayo itasema ‘Je kuna ziada (zaidi? Naije tu!
Imesimuliwa na Anas kuwa: Mtume alisema watu watatupwa jahanamu, Naye Allah ataiuliza jahanamu akisema je umejaa nayo jahanamu itasema kwani kuna nyingine zaidi na ije tu? Mpaka Allah atakapo ingiza mguu wake nayo jahanamu itasema inatosha! Inatosha
Duuh! kumbe wafuasi wa allah wote motoni. Pia allah mwenyewe naye motoni.
 
Back
Top Bottom