Hii ni nini tena, siasa za ushawishi zinaingia katika kuvuruga hijja nguzo muhimu kwa watu wa imani. Uharamia wa vikaragosi vya Iran katika bahari nyekundu na pia wale mgambo karagosi ktk vita Mashariki ya Kati inayofadhiliwa na Iran, hivyo idara za usalama za nchini Saudia haiwezi kuichukulia kwa wepesi katika hali ikiyopo sasa.
Inakumbusha maandiko katika intaneti na maktaba ya machapisho ya magazeti, nchi hasimu za India na Pakistani wakati wa World Cup ya mchezo wa Kriketi ikifanyika India.
View: https://m.youtube.com/watch?v=RqZP-QZ9lx8
Nguli ulinzi na usalama wasema huu ni wakati wa tahadhari kubwa katika dunia ya sasa
View: https://m.youtube.com/watch?v=oKhCiq77GNw
Idara ya Usalama wa taifa wa India walipata taarifa kuwa katika kundi kubwa la mashabiki maelfu kwa maelfu wa kriketi kutoka Pakistani kungekuwemo dazani ya majajusi wa kiPakistani ambao wasingerejea nyumbani na kubaki kwa kificho nchini India baadaye kutumika kuhujumu nchi ya India.
Picha toka maktaba Mahujaji wa Iran katika hijja zilizopita
View attachment 2862165