Saudi Arabia yawapiga pini mahujaji wa Iran

Naomba kwa niaba ya wanajukwa humu udhihirishe humu humu uwepo wa huyo allah.
Maana mnapochinja watu kuwalazimisha huyo allah huwa hamuwapi udhihirisho wa uwepo wake.
Wewe muabudu mtu kafiri mkubwa weweee
 
YOHANA 4:21-24. Yesu akamwambia,.. saa inakuja ambayo hamtamwabudu Baba katika mlima huu, wala kule Yerusalemu. NINYI MNAABUDU MSICHOKIJUA,... waabuduo halisi watamwabudu Baba ktk roho na kweli... Mungu ni Roho,.. (hiyo ndiyo tofauti ya Mungu wa kweli, na allah mzimu wa kiarabu)
 
Na sasa wamekumbukana kuwa Sunni na Mashia ni bado maadui wa kuuwana

View: https://youtu.be/yoQx-0XDEBE?si=lSGwlZlyj197a6zg
 
Na unasemaje pale ukristo unapomwita mtu asiye mkristo kama wewe kuwa wewe ni kafiri ingawa sisi hatukuiti wewe kafiri. Yuda 1:4
 
Misemo ya wenye hekima: "usipambane na mtu ambaye hana kitu cha kupoteza kwa kuwa atakusaidia kupoteza ulichonacho". Kwaheri.
Aya kajambe ila usisahau kumchukua bwana wako makabarikiwe maana hii ndio amri kutoka kwa yeshu
 
Makafir hata enzi za Mtume walikuwepo lkn haikuzuia uislamu kufika hadi Ulaya na Africa. Kama wewe ni mkiristo jitahidi sana ukifa ufe ukiwa muislam vyenginevyo utajuta kwanini ulibaki ktk ukiristo wako
Vice versa is true, pia ukumbuke Mungu hajui Ukristo wala Uislamu, anajua wenye moyo safi ndo watakaourithi ufalme wa mbinguni, hata wewe kama umejaa chuki na ubaguzi dhidi ya wanadamu ambao siyo wa dini yako , kuzimu inakusubili. Mtume Mohamed alikuwa mtu wa upendo, hakuwa na chuki, hata hizo jihad alizopambana alikuwa anajilinda baada ya kuchokozwa.
 
Makafir hata enzi za Mtume walikuwepo lkn haikuzuia uislamu kufika hadi Ulaya na Africa. Kama wewe ni mkiristo jitahidi sana ukifa ufe ukiwa muislam vyenginevyo utajuta kwanini ulibaki ktk ukiristo wako
Wew ndio unatakiwa kumfuata Yesu Kristu kabla hujafa maana hata huyo mudy mnayemfuata naye anamsubiri Yesu kristu kuja kutoa hukumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…