Saudi Prince Al-Waleed and his Wife

Ni
H

Huyu kijana hapa kaowana na wanne siku moja:


View: https://youtu.be/EaEKkThxtj8?si=c5xSe0vzszZXBxPT
Ok sawa. Katika kusoma kwangu nilibahatika kusoma na waarabu na pia walikua marafiki zangu. Sasa nilikua nikienda kwao namkuta baba na mama pekee na ndugu zao wengine. Kuna muda nikamuuliza huyo rafiki yangu, kwanini Mzee wake ana mke mmoja naye ni muislam pure. Jamaa akanijibu kua, ni nchi chache sana za kiarabu Zinaruhusu kumiliki mke zaidi ya mmoja.
 
Umeona ni nje hapo? Mtu yupo garden hapo na mumewe ametupia vitu vya pesa nyingi kabisa, ajizongezonge nini?

Huoni mumewe ndiyo kavaa hijab?
Madam mm meulza jue,

Nilikuwa cjui gadeni yake ipo ndani, nitajulia wapi mm nimekulia kwenye nyumba mlango wa bati🤣🤣
 
Duuh mkuu kwel haya? Kwanin sas wakat wenzetu matajiri huko
 
Duuh mkuu kwel haya? Kwanin sas wakat wenzetu matajiri huko
Kama kwenu Kuna waarabu fuatilia hili. Na hakuna ustaarabu Duniani unao entertain mke zaidi ya mmoja... Mfalme Mohammed VI wa Morocco ambaye ni damu Moja na mtume ana mke mmoja .. Watakuambia tu Petro alikua na wake 900 kipindi hicho anayekuambia ana mke mmoja au Hana kabisa. Baadaye unakua na mawazo ya kuoa wenzio Wana mawazo juu ya rasirimali zako. Fungua macho tizama mbele
 
No hijab no Bukha no buibui

View attachment 2877890
Njoo Africa sasa

Uone dini za kuletewa zinavyotutoa roho kuliko wenye dini zao
Sasa huoni yupo na mumewe hapo?
Madam mm meulza jue,

Nilikuwa cjui gadeni yake ipo ndani, nitajulia wapi mm nimekulia kwenye nyumba mlango wa bati🤣🤣

Waislam wanafiki. Hijabu na Burqa ni kwa makapuku kama Dada FaizaFoxy. ona hapa chini huyo ni Mfalme wa Jordan ambaye wanadai ni kizazi Cha Moja kwa Moja kutokea kwa Mtume Mohammad; no Hijabu no what. Aidha, huko Thailand nyakati za mfungo Ramadan huwa kunajaa wanaume wa Kiarabu wanaokwenda kula Raha na visichana vya Kithailand
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…