Hu Jintao
JF-Expert Member
- Feb 27, 2015
- 1,726
- 3,359
Jamii gani ni matajiri na Wana wake wengiAsilimia kubwa waarabu mke mmoja ila wale masikin
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamii gani ni matajiri na Wana wake wengiAsilimia kubwa waarabu mke mmoja ila wale masikin
Hawa waarabu masikin wa Yemen ndio wanaendekeza wake wengi. Jamii kubwa ya waarabu wenye hela ni mke mmoja japo sio wote. UAE Bahrain Qatar Oman Jordan nk.Jamii gani ni matajiri na Wana wake wengi
Ok sawa,, nimekupataHawa waarabu masikin wa Yemen ndio wanaendekeza wake wengi. Jamii kubwa ya waarabu wenye hela ni mke mmoja japo sio wote. UAE Bahrain Qatar Oman Jordan nk.
Acha upuuzi hupaswi kumfata mtu fata kitabu kinasemaje, huyo ni binaadam kama wewe nnae ana madhaifu yakeNjoo Africa sasa
Uone dini za kuletewa zinavyotutoa roho kuliko wenye dini zao
Nyumba moja sawa ila chumba kimoja dini hairuhusuHivi anaweza kwenda kulala nao chumba kimoja? Au akawaweka nyumba moja?
Uislam ni mwema sana.uislam ni mzuri sana
We kweli punguani Sasa unafiki unatoka wapi? Dini ni suala la mtu, kwani hakuna wakristo watenda dhambi?Waislam wanafiki. Hijabu na Burqa ni kwa makapuku kama Dada FaizaFoxy. ona hapa chini huyo ni Mfalme wa Jordan ambaye wanadai ni kizazi Cha Moja kwa Moja kutokea kwa Mtume Mohammad; no Hijabu no what. Aidha, huko Thailand nyakati za mfungo Ramadan huwa kunajaa wanaume wa Kiarabu wanaokwenda kula Raha na visichana vya Kithailand
View attachment 2877918
Wenye DINI yao wanajielewa! Makapuku ndio shida!
Yaani ni tabuuu! Mie nachekaga yale masigida! Najisemea ya ngoso mwachie ngoso! 😂😂😂😂Njoo Africa sasa
Uone dini za kuletewa zinavyotutoa roho kuliko wenye dini zao
ndugu yangu faizafoxy Allah akuongezee maarifa huwa unajibu kwa hoja na busara sana mambo ya dini yetuUmeona ni nje hapo? Mtu yupo garden hapo na mumewe ametupia vitu vya pesa nyingi kabisa, ajizongezonge nini?
Huoni mumewe ndiyo kavaa hijab?
Hapo walikua state visit Spain na hapo wapo kwenye dhifa ya kitaifa.Umeona ni nje hapo? Mtu yupo garden hapo na mumewe ametupia vitu vya pesa nyingi kabisa, ajizongezonge nini?
Huoni mumewe ndiyo kavaa hijab?
Unakuta jua kalii jotoooo alafu mwanamke kavishwa zile za kufunika mpaka uso alafu anatembea kkoo kwa mguu mpka posta famasikhara nn vya kupokea tulivipokea na matako sio akiliNjoo Africa sasa
Uone dini za kuletewa zinavyotutoa roho kuliko wenye dini zao
Ana Pini kali
TakbiiiirSasa huoni yupo na mumewe hapo?
Inakataza kwa sababu gani wakati ni wake zako?Nyumba moja sawa ila chumba kimoja dini hairuhusu
Wale wanawake wawili haipaswi kuonana tupu zaoInakataza kwa sababu gani wakati ni wake zako?
Kwanini Embu toa sababu ambazo mtu mzima ukimwambia ataona inaeleweka.Wale wanawake wawili haipaswi kuonana tupu zao
Huyo chamtoto,kuna makahaba wenye dini kabisaHapo walikua state visit Spain na hapo wapo kwenye dhifa ya kitaifa.View attachment 2883020View attachment 2883021
Huyu naye ni Mwanamfalme wa Jordan
View attachment 2883022