Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Pombe wanagonga vibaya mno.Wapo nje ndio maana cameraman kawazoom aka shot, Saudia wahuni tu hao , hadi pombe viongozi wanakunywa tena wanazitandika vizuri.
Ila wewe ukionekana sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pombe wanagonga vibaya mno.Wapo nje ndio maana cameraman kawazoom aka shot, Saudia wahuni tu hao , hadi pombe viongozi wanakunywa tena wanazitandika vizuri.
Waarabu na Dini yao ya Kishetani Wanachowafanyia hawa watu wa MATAIFA mengine ni "ISLAMIZATION" ambayo ni sawa tu na UKOLONI MAMBO LEO" wanawafanya waache tamaduni zao na kufuatia za kwao za KISHETANI. ONA HII POST YA X
Wavaa kobazi huu ni msiba kwao.
Kwenye hayo makasri yao wana wine, scotch , whisky za gharama, wanazigonga sana na fegi, na wanapiga madem kinoma.Pombe wanagonga vibaya mno.
Ila wewe ukionekana sasa
Ni Kweli ni uzazi wa Muhammad AU story Tu 😂 za kutungwaKama kwenu Kuna waarabu fuatilia hili. Na hakuna ustaarabu Duniani unao entertain mke zaidi ya mmoja... Mfalme Mohammed VI wa Morocco ambaye ni damu Moja na mtume ana mke mmoja .. Watakuambia tu Petro alikua na wake 900 kipindi hicho anayekuambia ana mke mmoja au Hana kabisa. Baadaye unakua na mawazo ya kuoa wenzio Wana mawazo juu ya rasirimali zako. Fungua macho tizama mbele
Sasa huoni yupo na mumewe hapo?
HahaaaKwenye hayo makasri yao wana wine, scotch , whisky za gharama, wanazigonga sana na fegi, na wanapiga madem kinoma.
Juzi kati 1st Jan usiku kuna mwanangu mmoja msaudia alikuja na wenzie nadhani wa oman jumla kama 6, salam aleyku za kutosha, nikawaambia kama pombe hamnywi shauri zenu mi napiga vyombo leo nakaribisha 2024 msiniletee kiwingu na us3nge wenu pombe ni haram.
Nikawaambia mi hata nyoka nakula usije niletea ufala eti najisi, wakawa wanacheka.
Aisee kumbe kuna waarabu kama wanne wanatandika vikali, yule mmoja alishusha konyagi 3 zile ndogo, nikasema astaghfirullah. Wale wengine beer, nikawateremshia absolute vodka wakasema shukran jazylaan, nkawaambia karibuni Tanzania.
Umeshikwa leo. Sasa tuongelee maendeleo yapi ambayo ccm haijaleta?Akili kubwa huongelea maendeleo.
Akili za kawaida huongelea matukio.
Akili mbovu huongelea watu.
Nimeshikwa nini sasa? Watu wana maisha yao mnataka kuwaingilia.Umeshikwa leo. Sasa tuongelee maendeleo yapi ambayo ccm haijaleta?
Ni kweli kumiliki zaidi ya mke mmoja ni Unyanyasaji kwa wanawake.Ni
Ok sawa. Katika kusoma kwangu nilibahatika kusoma na waarabu na pia walikua marafiki zangu. Sasa nilikua nikienda kwao namkuta baba na mama pekee na ndugu zao wengine. Kuna muda nikamuuliza huyo rafiki yangu, kwanini Mzee wake ana mke mmoja naye ni muislam pure. Jamaa akanijibu kua, ni nchi chache sana za kiarabu Zinaruhusu kumiliki mke zaidi ya mmoja.
Ndio tunaongelea Dini ya Ummat Muhammad.Nimeshikwa nini sasa? Watu wana maisha yao mnataka kuwaingilia.
Hivi hamna ya maana ya kuongelea?
Kuna ubaya gani hapo wamestirika au unataka wave vimini na nusu uchi kama Wagalatia ?
Kila mtu siku ya kiama ataulizwa juu ya matendo yake na lililobora mtu kunyaangalia matendo yake kwanza kabla ya kuanza akujadili ya mwengine, President au King kuwa mtu muasi na muovu siyo sababu ya mtu kufuata dini na kumuiga na hiyo list ndogo Mimi hata Gamal Nasser ,Anuar Saadat na viongozi wengine maarufu wa kiarabu familia zao zinaishi Kimagharibi sana lakini hilo halibadilishi Sheria ya Uislamu.Waislam wanafiki. Hijabu na Burqa ni kwa makapuku kama Dada FaizaFoxy. ona hapa chini huyo ni Mfalme wa Jordan ambaye wanadai ni kizazi Cha Moja kwa Moja kutokea kwa Mtume Mohammad; no Hijabu no what. Aidha, huko Thailand nyakati za mfungo Ramadan huwa kunajaa wanaume wa Kiarabu wanaokwenda kula Raha na visichana vya Kithailand
View attachment 2877918
Hao wahuni tu.Hapo unaposema yupo na Mumewe walikuwa kwenye harusi ya prince william na amevaa brand ya kafiri Louis Vuton,,,,, nyinyi miloletewa dini ndio mnateseka na ma Hijab na Maburka , mnacomplicate maisha huku wenye dini yao wameshaachana nayo.. nakuongezea picha zake
View attachment 2877935
picha zingine hizi hapa nakuwekea
je na hapo mbona kichwa wazi mbele ya wanaume wengine ?
Saudia wanakunywa pombe ,hao viongozi wamefnya mauaji ya wazi ili kulindwa na Marekani ndio wanafanya ujinga na kuruhusu mambo kiboa tena yapo nyuma yao.Wapo nje ndio maana cameraman kawazoom aka shot, Saudia wahuni tu hao , hadi pombe viongozi wanakunywa tena wanazitandika vizuri.
Kwani kuwa muarabu ndio kuwa muislamu?😅😅 Hao ni watawlaa hawana uhusiano na uislamu hata kuswali sidhani kama wanaswali ule ukoo mzima wa mfalme paleHapo unaposema yupo na Mumewe walikuwa kwenye harusi ya prince william na amevaa brand ya kafiri Louis Vuton,,,,, nyinyi miloletewa dini ndio mnateseka na ma Hijab na Maburka , mnacomplicate maisha huku wenye dini yao wameshaachana nayo.. nakuongezea picha zake
View attachment 2877935
picha zingine hizi hapa nakuwekea
je na hapo mbona kichwa wazi mbele ya wanaume wengine ?