The unpaid Seller
JF-Expert Member
- Oct 27, 2019
- 2,113
- 6,251
kwahiyo wanawake wote "wenye waume" pia Saudi Arabia wanaruhusiwa kutembea "mapaja yako wazi" kama mke wa mwana mfalme ?Sasa huoni yupo na mumewe hapo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwahiyo wanawake wote "wenye waume" pia Saudi Arabia wanaruhusiwa kutembea "mapaja yako wazi" kama mke wa mwana mfalme ?Sasa huoni yupo na mumewe hapo?
Kwamba viongozi wa "nchi inayoongozwa kwa misingi ya Kiislamu" wao sio Waislamu !??Kwani kuwa muarabu ndio kuwa muislamu?😅😅 Hao ni watawlaa hawana uhusiano na uislamu hata kuswali sidhani kama wanaswali ule ukoo mzima wa mfalme pale
Please niletee picha ya mke wa imam wa mecca yule sudais ,nion mkewe akiwa kichwa wazi...
Unasema kutembea na mke nje hivyo je hujui hao ndio walimuua jamal khashongy na cctv camera zimeonyesha kabisa !? Hao ni majambazi kabisa pale wanalindwa na mzungu ..
Uislamu saudia sio kote hata Mtume alipata resistance kutokw katika uongozi wa nchi hiyo ya saudi ..
Kule Israel mpaka ndio chimbuko la ukristo ila majority sio wakristo ,hata kusambaza ukristo ni kosa la jinai mbona watu hawapigi kelele?😅😅😅.
Mtume alikuwa jamii ya waarabu ila sio kila muarabu ni muislamu tena nusu kwa nusu.... Viongozi wa saudia pamoja na mtawala hawana uhusiano wa moja kwa moja na uislamu labda sehemu ya Mecca ..Ni kama vile Vatican ilivyojimega kutoka kwa Italy sio viongozi wa Italy wote ni wakristo.😂
Msikitini wa Mecca una uongozi wake ambao ni waislamu tupu ..
Ni kweli kabisaNi kweli kumiliki zaidi ya mke mmoja ni Unyanyasaji kwa wanawake.
Tuwaulize misukule ya udini hapa jf zezeta kibalagashea Malaria 2 bibi yetu (ambae pia ni bikra) FaizaFoxyHapo unaposema yupo na Mumewe walikuwa kwenye harusi ya prince william na amevaa brand ya kafiri Louis Vuton,,,,, nyinyi miloletewa dini ndio mnateseka na ma Hijab na Maburka , mnacomplicate maisha huku wenye dini yao wameshaachana nayo.. nakuongezea picha zake
View attachment 2877935
picha zingine hizi hapa nakuwekea
je na hapo mbona kichwa wazi mbele ya wanaume wengine ?
😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣Sasa huoni yupo na mumewe hapo?
uislam ni mzuri sanaNimeshikwa nini sasa? Watu wana maisha yao mnataka kuwaingilia.
Hivi hamna ya maana ya kuongelea?
Na hawa ndiyo ndugu wa mtume 💯. Wale wanaovaa niqab sijui wamefundishwa na nani
Currently sio waislamu ile ni katiba huyu mtawala kapewa kulinda maslahi ya Marekani..Hata Afghanistan ile kabla ya kupinduliwa hivi karibuni ilikuwa na katiba ya kiislamu ila viongozi sio waislam ni puppet wa Marekani.Kwamba viongozi wa "nchi inayoongozwa kwa misingi ya Kiislamu" wao sio Waislamu !??
Hivi hata umesoma ulichokiandika ?! NYIE MAISLAMU NI MAJINGA NA MANAFIKI SANA.
Ndio kuna ubaya, we unaona sawa Allah anatambua utamaduni wa kiarabu tuu, kuanzia lugha hadi mavazi, kwamba tamaduni za kiarabu ndio superior kuliko zingine.Kuna ubaya gani hapo wamestirika au unataka wave vimini na nusu uchi kama Wagalatia ?
mpiga picha ni nani?Umeona ni nje hapo? Mtu yupo garden hapo na mumewe ametupia vitu vya pesa nyingi kabisa, ajizongezonge nini?
Huoni mumewe ndiyo kavaa hijab?
Ebu tuambie hao westerners wamemdanganya nini ili nasi tujue ni uongo gani huyu mwarabu kaambiwa.Kadanganywa na westerners
Huo upuuzi ni kwa maskini, acha kuzuga. We Bibi wa Jambiani unaujua uislam kuliko huyo mwana mfalme wa Kiarabu?Umeona ni nje hapo? Mtu yupo garden hapo na mumewe ametupia vitu vya pesa nyingi kabisa, ajizongezonge nini?
Huoni mumewe ndiyo kavaa hijab?
Ukifuatilia maisha wanayoishi waliotuletea hizi dini mbili, unapata kutambua kuwa mwazanzilishi wake ni mmoja
Yani Mvaa rozali na Mvaa tasbih wote ni Watoto wa Baba mmoja? Ubinadamu kazi/humanity is work..
Asilimia kubwa waarabu mke mmoja ila wale masikinHivi waarabu nao wanaoa wake zaidi ya wawili?