Saudi Prince Al-Waleed and his Wife

Pombe wanagonga vibaya mno.

Ila wewe ukionekana sasa
Kwenye hayo makasri yao wana wine, scotch , whisky za gharama, wanazigonga sana na fegi, na wanapiga madem kinoma.

Juzi kati 1st Jan usiku kuna mwanangu mmoja msaudia alikuja na wenzie nadhani wa oman jumla kama 6, salam aleyku za kutosha, nikawaambia kama pombe hamnywi shauri zenu mi napiga vyombo leo nakaribisha 2024 msiniletee kiwingu na us3nge wenu pombe ni haram.

Nikawaambia mi hata nyoka nakula usije niletea ufala eti najisi, wakawa wanacheka.

Aisee kumbe kuna waarabu kama wanne wanatandika vikali, yule mmoja alishusha konyagi 3 zile ndogo, nikasema astaghfirullah. Wale wengine beer, nikawateremshia absolute vodka wakasema shukran jazylaan, nkawaambia karibuni Tanzania.
 
Ni Kweli ni uzazi wa Muhammad AU story Tu πŸ˜‚ za kutungwa
 
Sasa huoni yupo na mumewe hapo?

Hapo unaposema yupo na Mumewe walikuwa kwenye harusi ya prince william na amevaa brand ya kafiri Louis Vuton,,,,, nyinyi miloletewa dini ndio mnateseka na ma Hijab na Maburka , mnacomplicate maisha huku wenye dini yao wameshaachana nayo.. nakuongezea picha zake

picha zingine hizi hapa nakuwekea

je na hapo mbona kichwa wazi mbele ya wanaume wengine ?
 
Hahaaa
 
Ni kweli kumiliki zaidi ya mke mmoja ni Unyanyasaji kwa wanawake.
 
 
Kila mtu siku ya kiama ataulizwa juu ya matendo yake na lililobora mtu kunyaangalia matendo yake kwanza kabla ya kuanza akujadili ya mwengine, President au King kuwa mtu muasi na muovu siyo sababu ya mtu kufuata dini na kumuiga na hiyo list ndogo Mimi hata Gamal Nasser ,Anuar Saadat na viongozi wengine maarufu wa kiarabu familia zao zinaishi Kimagharibi sana lakini hilo halibadilishi Sheria ya Uislamu.
 
Hao wahuni tu.
 
Wapo nje ndio maana cameraman kawazoom aka shot, Saudia wahuni tu hao , hadi pombe viongozi wanakunywa tena wanazitandika vizuri.
Saudia wanakunywa pombe ,hao viongozi wamefnya mauaji ya wazi ili kulindwa na Marekani ndio wanafanya ujinga na kuruhusu mambo kiboa tena yapo nyuma yao.


Viongozi wa saudia nchi wameipata kwa mazabe ya Marekani ili kuutoa uislamu pale ,bahati nzuri hata waislamu wanajua wale sio waislamu halisi kuanzia hanasa kwa kutumia mali za ummah....Wao viongozi wa kidini wanaofuata dini ila sio hao wakina prince
 
Kwani kuwa muarabu ndio kuwa muislamu?πŸ˜…πŸ˜… Hao ni watawlaa hawana uhusiano na uislamu hata kuswali sidhani kama wanaswali ule ukoo mzima wa mfalme pale

Please niletee picha ya mke wa imam wa mecca yule sudais ,nion mkewe akiwa kichwa wazi...


Unasema kutembea na mke nje hivyo je hujui hao ndio walimuua jamal khashongy na cctv camera zimeonyesha kabisa !? Hao ni majambazi kabisa pale wanalindwa na mzungu ..


Uislamu saudia sio kote hata Mtume alipata resistance kutokw katika uongozi wa nchi hiyo ya saudi ..

Kule Israel mpaka ndio chimbuko la ukristo ila majority sio wakristo ,hata kusambaza ukristo ni kosa la jinai mbona watu hawapigi kelele?πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜….


Mtume alikuwa jamii ya waarabu ila sio kila muarabu ni muislamu tena nusu kwa nusu.... Viongozi wa saudia pamoja na mtawala hawana uhusiano wa moja kwa moja na uislamu labda sehemu ya Mecca ..Ni kama vile Vatican ilivyojimega kutoka kwa Italy sio viongozi wa Italy wote ni wakristo.πŸ˜‚


Msikitini wa Mecca una uongozi wake ambao ni waislamu tupu ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…