Saudi Prince Al-Waleed and his Wife

Jamii gani ni matajiri na Wana wake wengi
Hawa waarabu masikin wa Yemen ndio wanaendekeza wake wengi. Jamii kubwa ya waarabu wenye hela ni mke mmoja japo sio wote. UAE Bahrain Qatar Oman Jordan nk.
 
Hawa waarabu masikin wa Yemen ndio wanaendekeza wake wengi. Jamii kubwa ya waarabu wenye hela ni mke mmoja japo sio wote. UAE Bahrain Qatar Oman Jordan nk.
Ok sawa,, nimekupata
 
.
 
Attachments

  • 7A8A1599-BC77-40A0-A0D7-C28FA2228CF1.jpeg
    156.5 KB · Views: 3
Njoo Africa sasa

Uone dini za kuletewa zinavyotutoa roho kuliko wenye dini zao
Acha upuuzi hupaswi kumfata mtu fata kitabu kinasemaje, huyo ni binaadam kama wewe nnae ana madhaifu yake
 
We kweli punguani Sasa unafiki unatoka wapi? Dini ni suala la mtu, kwani hakuna wakristo watenda dhambi?
 
Njoo Africa sasa

Uone dini za kuletewa zinavyotutoa roho kuliko wenye dini zao
Yaani ni tabuuu! Mie nachekaga yale masigida! Najisemea ya ngoso mwachie ngoso! 😂😂😂😂
 
Umeona ni nje hapo? Mtu yupo garden hapo na mumewe ametupia vitu vya pesa nyingi kabisa, ajizongezonge nini?

Huoni mumewe ndiyo kavaa hijab?
ndugu yangu faizafoxy Allah akuongezee maarifa huwa unajibu kwa hoja na busara sana mambo ya dini yetu
 
Umeona ni nje hapo? Mtu yupo garden hapo na mumewe ametupia vitu vya pesa nyingi kabisa, ajizongezonge nini?

Huoni mumewe ndiyo kavaa hijab?
Hapo walikua state visit Spain na hapo wapo kwenye dhifa ya kitaifa.

Huyu naye ni Mwanamfalme wa Jordan
 
Njoo Africa sasa

Uone dini za kuletewa zinavyotutoa roho kuliko wenye dini zao
Unakuta jua kalii jotoooo alafu mwanamke kavishwa zile za kufunika mpaka uso alafu anatembea kkoo kwa mguu mpka posta famasikhara nn vya kupokea tulivipokea na matako sio akili
 
Wale wanawake wawili haipaswi kuonana tupu zao
Kwanini Embu toa sababu ambazo mtu mzima ukimwambia ataona inaeleweka.
Kwanini uoe wake wengi Halafu usilale nao chumba kimoja? Kipi kinashindikana wakati ni jambo mungu kalibariki?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…