Ibofwee
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 1,305
- 2,452
Umeongea uongo mwingi, Sauli ana mabasi manne tu ambayo ameyapata kwa taratibu tu.
Kila mwaka alikua anajikongoja na kununua kabasi kamoja na mwaka huu ametoa hiyo Scania DTF.
Kuhusu upya wa mabasi umeongea uongo, mabasi yake ni ya kuchongwa Kenya ( Yamechongwa na kampuni ya AVA ila najua mtoa mada kijiweni kwenu huwa mnadanganyana zile bus ni Gemilang original)