Sauli: Bilionea ambaye Wazungu/Wageni wanamtambua Waswahili hatujamfahamu kabisa

Sauli: Bilionea ambaye Wazungu/Wageni wanamtambua Waswahili hatujamfahamu kabisa

Mwaka 2011 nililala kwenye hoteli yake landmark pale Tukuyu.
 
Mwaka 2011 nililala kwenye hoteli yake landmark pale tukuyu.
huyu anae zungumziwa hapa ni mmiliki wa mabasi ya Sauli Dar to Mbeya ambapo shughuli zake ni uchimbaji wa Dhahabu uyo ulie lala hotelini kwake ni mtu mwingne kabisaaaa ambapo yeye ni mmbunge kwa sasa
 
huyu anae zungumziwa hapa ni mmiliki wa mabasi ya Sauli Dar to Mbeya ambapo shughuli zake ni uchimbaji wa Dhahabu uyo ulie lala hotelini kwake ni mtu mwingne kabisaaaa ambapo yey n mmbunge kwa sasa
Kumbe nilikuwa sifahamu. Shukran mkuu kwa kunisahihisha, lakini nadhani majina yao yanafanana?
 
Ongezeni picha tafadhali
Sauli na Kilimanjaro bamba to bamba kitonga/nzomve
JamiiForums1456423907.jpg
 
Ulikuwa mdogo. Mkapa alipewa zawadi dhahabu kilo tano of course si ya kutengenezea cheni. Uliza wakubwa wako watakwambia. Hiyo haina shaka kabisa.

"Alimpa Mkapa dhahabu kilo 5 atengeneze cheni"... tuache utani, dhahabu kilo tano inalisha chunya nzima miezi kama sio miaka....
 
Jamaa ana pesa ila sio za kutisha kiivyo bhana ana maBasi machache sana kiasi kwamba hatuwezi tukamuweka hata kwenye upande wa matycoon wa usafirishaji tz hata wa madini bado uyo jamaa hana title inayoeleweka hawa watu mpaka wafikie levels za matycon lazima awe ana asset hata ya bilioni 100 za kibongo na cash ya maana naona ni sifa tu ila all in all lets get inspired tutafute pesa angalau ya kufanya impact katika jamiii
 
Kuna wafanyabiashara wa madini mashuhuri zaidi ya Sauli waliopo Chunya. Ila kwa kuwa kipenzi chako ni Sauli basi endelea kumkuza mtu ambaye hana ukwasi wa kutisha kama ulivyoaminishwa.
 
Kwani gemilang moja inauzwaje?
mi najua 600m
 
Anammwambafai tu, hafahamiki hata kwa mkoa wa Mbeya kama in tajiri kivile.
cc Scars
Halafu stori ya Rais kupewa dhahabu imepindishwa

Kuna mkushi mmoja kajichimbia bush ndani ndani huko anaitwa Mwembe ndio mwenye hiyo record ya kutoa dhahabu kama zawadi

Sauli sio tajiri kivile labda kwasababu bado kijana ndo maana wanam-bust lakini hata hivyo still yuko vizuri kipesa sema amekosa washauri wenye kumshauri namna gani nzuri ya kuwekeza pesa zake zikazaa
 
Sauli ni kijana mdogo ambaye anapenda sana maujiko, nakumbuka alikua anapenda sana kucheza pool table.

Sa ikitokea anacheza pool table halafu ukawa mpambe wake kumpa sifa basi pesa atayopata hapo kama akimfunga mpinzani yote anakupa wewe.

Wahuni walipogundua huo udhaifu wakawa kila kona wako naye, hua anapenda kutembea na katoto kake basi hapo wahuni wakawa wamepata tiketi.


Sauli akianza kucheza wahuni wanambeba mtoto wanajidai wanacheza naye, na ukimbeba mtoto utakuta anakupa 20k anasema kamnunulie juice mtoto halafu chenchi inayosalia yako.

Ikafika hatua wahuni wakawa wanagombea kumchukua mtoto, yani kila mtu anataka aonekane na sauli kamshika mtoto wake. Na jamaa alikua hana kwere haijalishi mmeshika wangapi alikua anahakikisha kila mmoja anamtembezea michuzi

Hata mpinzani wake kwenye pool alikua akikufunga na kukumaliza pesa zako hua anakurudishia na wale wadau waliokua pembeni yake wanamshangilia nao anawatembezea michuzi

Alikua anapenda sana mashindano ya piki piki sijui kwa saizi, kipindi kile nakumbuka alikua analipia kibali polisi kwa ajili ya kufanya battle ya pikipiki na jamaa mmoja alikua anaitwa konga

Analipiki piki lake hilo moja hatari yani umbali wa kilomita 75 ye alitumia dakika 6

Ana mengi ya kustaajabisha na mengi katika hayo ni ukijana sana halafu yuko social
 
"Alimpa Mkapa dhahabu kilo 5 atengeneze cheni"... tuache utani, dhahabu kilo tano inalisha chunya nzima miezi kama sio miaka....
Unashangaa big Ben kupewa kilo 5!?

Kipindi akiwa ni waziri wa Nishati braza Ngere.. aliwahi kupewa Mbuzi wa Dhahabu huko Geita.
 
Alikua anapenda sana mashindano ya piki piki sijui kwa saizi, kipindi kile nakumbuka alikua analipia kibali polisi kwa ajili ya kufanya battle ya pikipiki na jamaa mmoja alikua anaitwa konga

Analipiki piki lake hilo moja hatari yani umbali wa kilomita 75 ye alitumia dakika 6
Konga yuko Pale Makongolosi, kachoka ile mbaya, licha ya ujeuli aliokuwa nao enzi hizo.
Namkumbuka konga alikuwa akisema "kuishiwa Mimi pesa ni mpaka dunia yote iishiwe pesa". Saizi yuko hoi bin taabani.
 
Back
Top Bottom