Sauli: Bilionea ambaye Wazungu/Wageni wanamtambua Waswahili hatujamfahamu kabisa

Sauli: Bilionea ambaye Wazungu/Wageni wanamtambua Waswahili hatujamfahamu kabisa

Kwa taarifa tu pale chunya pana madon wa madini zaidi ya Sauli.. Sauli anaonekana ndio mjanja nyuma ya mabosi wa madini kwa kuwekeza kwenye Usafiri.. Ni mjanja sana jamaa.. alimfanyia ukanjanja mzungu mmoja kilichoendelea anakijua mwenyewe
 
Hapa kuna mazingira yanaandaliwa mtu kupigwa, chezea wabeshi wewe.
 
Huyu si ni mbunge huko rungwe au sauli yupi,, kwao ni ushirikia kule Tukuyu kamuoa mama mmoja anasili ya kisomali ambaye anatokea soko mjinga mtaa wa bagamoyo Tukuyu mjini,,, anahela ila si kama hizo buana. Na kuna tetesi tulikuwa tuna zisikia enzi zile na soma Tukuyu kuwa bwana huyu aliukwaa utete mapema..
Umechanganya madesa mkuu
Sauli anaesemwa hapa ni jamaa doni wa madini kule Chunya ndie anaemiliki mabasi ya SAULI
 
toka Kusini mwa Afrika
Huu ni uongo, mwezi uliopita ambao ni wa 5, SA watu wake wote walisweka lock down na kulikuwa hakuna ndege inayotoka na kuingia SA wala Tanzania, hao watasha walifikaje Tanzania kama sio story za kuungaunga hizi.... Ungo mwingine bwana hauna maana.
 
Acha uongo hiyo AVA kaichonga master fabricant kampun ya Kenya ndio inachonga bus za asante rabi zote na sasa hivi kamchongea chuma itaanza root soon

Hujaona hiyo Saul Mpya DTF alikabidhiwa kutoka ofc za scania Dar kaangalie page ya Saul utaona hzo hazijachongwa na ndio sasa hivi inaongoza rout ya Mbeya Dar toka imekuja hiyo DTF inakanyaga mafuta balaaa na hyo Benz nayo haijachongwa ata ukiangalia service yake sio ya kitoto.


Saul kafuta utawala wa deer sahv wakina DPK wanamjua vzur
Umeongea uongo mwingi,Sauli ana mabas manne tu ambayo ameyapata kwa taratibu tu.

Kila mwaka alikua anajikongoja na kununua kabasi kamoja na mwaka huu ametoa hiyo scania DTF.

Kuhusu upya wa mabasi umeongea uongo,mabas yake ni ya kuchongwa kenya ( Yamechongwa na kampuni ya AVA ila najua mtoa mada kijiweni kwenu huwa mnadanganyana zile bus ni Gemilang original)
 
Acha uongo hyo AVA kaichonga master fabricant kampun ya Kenya ndo inachonga bus za asante rabi zote na sahv kamchongea chuma itaanza root soon

Hujaona hyo saul Mpy DTF alikabidhiwa kutoka ofc za scania dar kaangalie page ya Saul utaona hzo hazjachongwa na ndio sahv inaongoza rout ya mbeya dar toka imekuja hyo dtf inakanyaga mafuta balaaa na hyo Benz nayo haijachongwa ata ukiangalia service yake sio ya kitoto.


Saul kafuta utawala wa deer sahv wakina DPK wanamjua vzur
Issue hapo ni kuwa hizo Gemilang zinakuwa assembled Kenya na kampuni hiyo ya AVA. Zinakuja kama body parts zikiwa fully completed toka Malaysia na hapo kenya wanaziunganisha tu.

Yaani kampuni ya Gemilang imeshirikiana na kampuni ya Kenya kufanya uwekezaji East Africa. So hizo ni Gemilang Original kama zile za Malaysia...maana hata huko Asia wanafata utaratibu ule ule wa kuunda body zao..

Yeye anasema hizo ni za kuchonga tu, hapana. Ni assembly...yaani unaunganisha kitu ambacho tayari kilishatengenezwa huko Malaysia.
 
Dogo acha uongo huyo Sauli wakati wa Utawala wa Mkapa alikuwa wa kawaida sana. Acha kutengeneza stori
 
Umeongea uongo mwingi,Sauli ana mabas manne tu ambayo ameyapata kwa taratibu tu.

Kila mwaka alikua anajikongoja na kununua kabasi kamoja na mwaka huu ametoa hiyo scania DTF.

Kuhusu upya wa mabasi umeongea uongo,mabas yake ni ya kuchongwa kenya ( Yamechongwa na kampuni ya AVA ila najua mtoa mada kijiweni kwenu huwa mnadanganyana zile bus ni Gemilang original)
Mkuu acha uongo Sauli kaanza na mabus 3 mwaka 2019 mwezi wa kwanza
300drh
226dpc
685dpn

kwa sasa kaongeza zingne 3 ila katoa gari moja kwanz ambayo ni DTF ndio maana akaongeza ruti ya Tunduma
 
Hapa umetudanganya mchana kweupe. 75Km ni kama kutoka mbeya mjini mpaka tukuyu.

Eti alikuwa anatumia dakika 6??? Tuache utani.

Yaani kama ukigeuza hizo daya zako kwenda kwenye speed in km/h basi ni 750km/h.

Kama ulikuwa unamaanisha ndege ya kivita basi sawa.
 
Hapa umetudanganya mchana kweupe. 75Km ni kama kutoka mbeya mjini mpaka tukuyu.

Eti alikuwa anatumia dakika 6??? Tuache utani.
na km 75 ni sawa na kutoka Mbeya to Chunya

wenzako walikua wabishi kama wewe likawekwa dau mezani
 
Back
Top Bottom