Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahahaha yule boya haishiwi visa alishawahi kwatapeli wazungu na wachina mara kibao tena kindezi tuuKonga yuko Pale Makongolosi, kachoka ile mbaya, licha ya ujeuli aliokuwa nao enzi hizo.
Namkumbuka konga alikuwa akisema "kuishiwa Mimi pesa ni mpaka dunia yote iishiwe pesa". Saizi yuko hoi bin taabani.
Umechanganya madesa mkuuHuyu si ni mbunge huko rungwe au sauli yupi,, kwao ni ushirikia kule Tukuyu kamuoa mama mmoja anasili ya kisomali ambaye anatokea soko mjinga mtaa wa bagamoyo Tukuyu mjini,,, anahela ila si kama hizo buana. Na kuna tetesi tulikuwa tuna zisikia enzi zile na soma Tukuyu kuwa bwana huyu aliukwaa utete mapema..
MkapaNkapa
~ Tusiache kuwa wapambe wa mabosi hata kama tuna kiburi kama jiwe!!Duuu hadithi hii inatufundisha nini?
Umechanganya madesa mkuu
Sauli anaesemwa hapa ni jamaa doni wa madini kule chunya,
Ooooh
Tuache kuku waatamie then watage Chotara na kisha tupate kuku wa layers then wapalekwe kibra.Duuu hadithi hii inatufundisha nini?
Huu ni uongo, mwezi uliopita ambao ni wa 5, SA watu wake wote walisweka lock down na kulikuwa hakuna ndege inayotoka na kuingia SA wala Tanzania, hao watasha walifikaje Tanzania kama sio story za kuungaunga hizi.... Ungo mwingine bwana hauna maana.toka Kusini mwa Afrika
Umeongea uongo mwingi,Sauli ana mabas manne tu ambayo ameyapata kwa taratibu tu.
Kila mwaka alikua anajikongoja na kununua kabasi kamoja na mwaka huu ametoa hiyo scania DTF.
Kuhusu upya wa mabasi umeongea uongo,mabas yake ni ya kuchongwa kenya ( Yamechongwa na kampuni ya AVA ila najua mtoa mada kijiweni kwenu huwa mnadanganyana zile bus ni Gemilang original)
Issue hapo ni kuwa hizo Gemilang zinakuwa assembled Kenya na kampuni hiyo ya AVA. Zinakuja kama body parts zikiwa fully completed toka Malaysia na hapo kenya wanaziunganisha tu.Acha uongo hyo AVA kaichonga master fabricant kampun ya Kenya ndo inachonga bus za asante rabi zote na sahv kamchongea chuma itaanza root soon
Hujaona hyo saul Mpy DTF alikabidhiwa kutoka ofc za scania dar kaangalie page ya Saul utaona hzo hazjachongwa na ndio sahv inaongoza rout ya mbeya dar toka imekuja hyo dtf inakanyaga mafuta balaaa na hyo Benz nayo haijachongwa ata ukiangalia service yake sio ya kitoto.
Saul kafuta utawala wa deer sahv wakina DPK wanamjua vzur
Mkuu acha uongo Sauli kaanza na mabus 3 mwaka 2019 mwezi wa kwanzaUmeongea uongo mwingi,Sauli ana mabas manne tu ambayo ameyapata kwa taratibu tu.
Kila mwaka alikua anajikongoja na kununua kabasi kamoja na mwaka huu ametoa hiyo scania DTF.
Kuhusu upya wa mabasi umeongea uongo,mabas yake ni ya kuchongwa kenya ( Yamechongwa na kampuni ya AVA ila najua mtoa mada kijiweni kwenu huwa mnadanganyana zile bus ni Gemilang original)
Analipiki piki lake hilo moja hatari yani umbali wa kilomita 75 ye alitumia dakika 6
Hapa umetudanganya mchana kweupe. 75Km ni kama kutoka mbeya mjini mpaka tukuyu.
Eti alikuwa anatumia dakika 6??? Tuache utani.
Yaani kama ukigeuza hizo daya zako kwenda kwenye speed in km/h basi ni 750km/h.
Kama ulikuwa unamaanisha ndege ya kivita basi sawa.
na km 75 ni sawa na kutoka Mbeya to ChunyaHapa umetudanganya mchana kweupe. 75Km ni kama kutoka mbeya mjini mpaka tukuyu.
Eti alikuwa anatumia dakika 6??? Tuache utani.