Triple A ni ya nani bro? naona we umedandia gari kwa mbele.......alikuwa wa kawaida tu, acha kuendekeza uongo.
Hiyo hotel hapo Triple A - mbona ya kawaida tu
Yaani ndugu yangu, umeshindwa hata kuelezea huyo Bilionea Sauli wa Mbeya ana ukwasi wa kiasi gani? Yaani kuwa na buses za Sauli na kuchimba dhahabu ni bilionea tayari? U bilionea nadhani watu wanaudharau sana, wanaona kama mchezo mchezo tu.
Sauli zile mbili tu zaidi ya billion 1.4
Unajua bilionea ana asset kiasi gani?Sauli zile mbili tu zaidi ya billion 1.4
Acha uongo mkuu....
Tuchukulie dhahabu hii ilipatikana jana ambayo ni sawa na gram 5000
Gram 1 kwa bei ya jana soko la dunia ilikua 127,990 Tsh.
Tuchukulie hii dhahabu ilikua na Purity ya 100% (swala ambalo ni gumu lazilma iwe pungufu)
So
5000*100%*127,990=136,950,000Tsh.
Je hii fedha unailisha chunya kwa miezi au mwaka??
Dhahabu kilo 5 hela yake ya kawaida tuKilo tano ni zaidi ya 600Mil kwa soko la sasa mkuu. Rudia hesabu.
Wabongo kwa kunogesha story tu hawajambo.
Dogo hebu soma UE keshokutwa usije ukapata sup buree maana kutwa kucha upo jf tuStory nzima nilikuwa napatafuta utapoandika eti ana pesa kuliko wakina MO walahi ningepigwa BAN huu ujinga nauonaga sana vijiweni huku.
Tz wenye pesa ni wengi sanaaa tena sanaaa ila ni level za u-millionare/Mult millionaire kuwa Billionaire ni kitu kingine kabisa hapa Duniani.