Sauli: Bilionea ambaye Wazungu/Wageni wanamtambua Waswahili hatujamfahamu kabisa

kiwango cha mwisho cha muda ulitarajia kiwe ngapi ili uamini?

Mkuu kama nilivosema mwanzo. Kwa maelezo yako ya 75 km kwa 6 minutes maana yake ni 750km/h.

750km/h ni impractical kwenye pikipiki. ukichukua weight ambayo matairi yanabeba + rolling resistance + friction, mtu akitembea kwa hiyo speed ndani ya muda usiozidi dakika 5 tairi zote zitakuwa zinawaka moto.
 
Haiwezekani kilomita 75 ukaenda dakika 6 mkuu..

Mana ukiendesha kilomita 150 kwa saa non stop kilomita 75 utatumia nusu saa maana yake ukienda mara mbili yake yani kilomita 300 kwa saa non stop kilomita 75 utazimaliza ndani ya robo saa yani dakika 15..

Sasa kama chombo inatembea kilomita 300 lisaa limoja inatumia dakika 15 kumaliza kilomita 75 huyo jamaa anatumia piki piki aina gani kwanza...

Maana buggat veyron ndio gari ipo fasta na top speed ya kilomita 500 per hour ambayo kilomita 75 itatumia dakika 9...

Ka msela wenu anatunia ungo sawa.
kiwango cha mwisho cha muda ulitarajia kiwe ngapi ili uamini?
 
swali langu hujalijibu

kiwango gani cha mwisho katika muda ambacho angekitumia kumaliza hizo km75 kwa mujibu wa calculations zako?
 
Soma vizuri nimekwambia ukitembeza gari spidi ya kilomita 150 kwa saa basi umbali wa kilomita 75 utatumia nusu saa hivi kilomuta 75 unazionaje mkuu
kilomita 75 kwa nusu saa, samahani hapa ulikua unazungumzia guta?
 
Huyo jamaa ndo anamiliki Yale mabus benz flan zmeandikwa saul zinatoka mbeya to dar
Ananunua bus mpyaa anamenya makaratas
 
Napinga yeye kuwa bilionea,napinga yeye kutoa zawadi ya gold kilo tano,napinga yeye kuwa na uwezo wa kuwa na jeshi lake,nimekubali kwamba ni mtu mwenye uwezo na anamiliki mabasi.
 
swali langu hujalijibu

kiwango gani cha mwisho katika muda ambacho angekitumia kumaliza hizo km75 kwa mujibu wa calculations zako?
Hakuna pikipiki yenye uwezo wa kwenda speed hiyo hapa Tanzania, uko mambele hizo Kawasaki na Dodge ndo mojawapo ya zenye speed kubwa na hazifikii speed hiyo wakati zinakuwa kwenye lanes zilizonyooka kwa ajili ya testing. Hiyo pikipiki inayoenda 75km/6mins ameitoa Mars?
 
huko tushatoka kitambo saizi nakusanya maoni yenu sa unanipa shida kujua kama swali langu umelielewa vyema
 
Mzee scania, iveco, Fiat basi zake ukiziweka ubungo utaona unaingiza hasara tu
 
Juzi kati kanye west amepanda kwenye list ya wasanii matajiri baada ya kupeleka documents zake za mkwanja Forbes. Mm nashauri mzee bakhresa nae apeleke. Haiwezekani mo amzidi hela SSB wakati AZAM ni taasisi bora namba tano Africa nzima. Na product zake zinakubalika Africa nzima. Watu wa madini kama sauli pesa zao zinapoteaga kiajabu bora hata muuza samaki anaafadhari.
 
Kwa taarifa tu pale chunya pana madon wa madini zaidi ya sauli .. Sauli anaonekana ndo mjanja nyuma ya mabosi wa madini kwa kuwekeza kwenye Usafiri.. Ni mjanja sana jamaa,. alimfanyia ukanjanja mzungu mmoja kilichoendelea anakijua mwenyewe
[emoji28][emoji28]
 
I INawezekana kweli akatumia mda huo, ila si piki piki hii tunayoiona labda anatumia viini macho aka miziziology
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…