Sauli: Bilionea ambaye Wazungu/Wageni wanamtambua Waswahili hatujamfahamu kabisa

Hivi Dar coach ile unakuta basi imeandikwa body by dar coach ni kampuni ya bongo?, inamilikiwa na dar express?, nao si wanatumia scania?
 
Huyo ni star wa ile MOVIE THE gods must be crazy
 
Unamsemea Sauli Hendry Amon ninaemfahamu mimi au mwingine!! Mbona wa kawaida sana huyu chaah labda kwako anakushtua
 
Sikiliza ww. Dar Express alikua na Scania Irizar na nyingine kadhaa ambazo kazitengenezea body pale Dar Coach. Nazo hukuziona?
Inaonesha hukunielewa! Dar lux alinunua bus body marcopolo, chasis asiastar na injini weichai.. je hiyo ni aina gani ya bus?

Kwa mfano huo nahisi utakuwa umeelewa nilichomaanisha.



Sent from my SM-J105H using JamiiForums mobile app
 
Tafuteni pesa acheni kupoteza muda kuni jadili hapa
 
"Alimpa Mkapa dhahabu kilo 5 atengeneze cheni"... tuache utani, dhahabu kilo tano inalisha chunya nzima miezi kama sio miaka....


Kilo moja ya dhahabu ni million 90 zidisha mara 5 ni kama million 450 kaka tena hapo inategemea na percentage

Ndo ilishe wilaya nzima mwaka mzima???? Story za vijiweni hizo bro
 


Hizo bei wauziana wazungu bab sokoni ni kama 90 mtoni ya kuchoma mpk 80
 
Hizo bei wauziana wazungu bab sokoni ni kama 90 mtoni ya kuchoma mpk 80
Nilijaribu kumpa picha kaka kuna wahindi mwezi wa 4 na 5 mwanzoni walikua wanapiga hadi 50k mkuu alafu wanakwambia kama hutaki sepa ...
 
Hapa Tanzania kuna Watu wana mawe kuliko huyo SAULI , alafu usitupigie kelel na hivyo Vibasi Vitatu kuna Mtu anaitwa Shabiby Line, Kimbinyiko Int. Coach, Batco, Ratco, Zacharia Airbus, Super Feo, New Force, Tahmed Coach, Isamilo, Frester, Mtei Express, Marangu Coach, Mghamba, Zuberi, King Msukuma, Abood, Dar Express, Nbs, nk wana Magari mengi na hawapigi kelele kama SAULI. Promo zimezidi hata Idadi ya Magari!
 
Unafahamu kuwa Ava na master fabricant Ni makampuni mawili tofauti huko Kenya?

Sent
 
Hakuna gemilang east Africa ,Kama walivyo marcipolo irrizar and the likes hawa assemble bado zao hapa Africa.
Hizo sauli, rungwe ,tashrif, Burdan , ambazo mtaani tunaziita gemilang zoote hizo zilikuja Kama chassis ya f95 na zikaundwa body na Ava , Mombasa, Tashrif yake ilishaanza kuchoka ukiingia ndani utaona jinsi mabati yalivyotamalaki kwenye body hizo.
Kitu pekee kinachoifanya basi hizo zionekane luxury ni uwezo wa engine na ile air suspension kweye diff na terias


Sent
 
Hivi Dar coach ile unakuta basi imeandikwa body by dar coach ni kampuni ya bongo?, inamilikiwa na dar express?, nao si wanatumia scania?
Dar coach ni kampuni ya dar , zamani kama sikosei ilikuwa inaitwa quality group, Yap walijenga Sana body zao kwenye chassis za scania japo sidhani Kama walikuwa na limitation kwenye brand zingine.

Sent
 
Gemilang wanashirikiana na Scania kutengeneza hizi basi zao za huku East Africa. Chassis ni za F310 hiyo f95 siyo official name ya chassis za sasa za Scania....walishaachana na huo mfumo wa ku name products zao. Currently wana chassis za F360 ambazo zipo kwenye zile Tahmeed mpya zilizotengenezwa na Master Fabricators.

Pia ujue kuwa kampuni ya AVA ya Kenya wana assemble imported body parts toka Malaysia...Fabrication inafanyikia nje huko Malaysia kwao na Gemilang.

So AVA ya Kenya wanashirikiana na Scania East Africa ku assemble(not fabricating) Scania Gemilang.

Scania to ease public transport with new coach
 
Hii chumvi imezidi maji ya bahari km 75 kwa dakika 6.Kasi (speed)yake ni 750km/saa,kasi ya ndege hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…