Tempus Fugit
JF-Expert Member
- Jun 22, 2016
- 850
- 2,212
Dar Coach wao ni body builders tu....na wanatumia chassis yoyote utakayoenda nayo mteja. Ukienda na Scania sawa, ukiwa na Isuzu sawa, iwe Faw poa tu, iwe Nissan fresh tu.Hivi Dar coach ile unakuta basi imeandikwa body by dar coach ni kampuni ya bongo?, inamilikiwa na dar express?, nao si wanatumia scania?
Wao wanachojali ni bei ya body aitakayo mteja. Ukiimudu wanakujengea body.
Dar Coach ni kampuni ya Bongo...inamilikiwa na Wahindi si Dar express. Walikuwepo kina Manji pia wakitengeneza body...Quality Group engineering(QG) siku hizi ni kama wame cease operations.