Mtoa mada muongo, ligi ya sasa hv ni kati ya DPK za Golden deer na hizo school bus za sauli
Jumapili kunakuaga na ligi ya kipekee ambapo linaingiaga hilo dude la CLASSIC AGUERO kuponda sauli na golden deer kwa pamoja
Sent using Jamii Forums mobile app
you make my day bro!Betting kwenye uhai wa watu [emoji848][emoji848][emoji848][emoji125][emoji144][emoji144][emoji144]
Jr[emoji769]
Mbeya Boy Goodluck Mwinuka ananinuooshea DPK za kina Linyama daily,
Sauli ni moto wa kuotea mbali ziko tatu tu lakini anamnyanyasa muwekezaji (New Force na Golden Deer) hatari bado Majinjah ya Swax BUL inasumbua DMG hatari.
Ila hizo zote watoto mbabe wao ni Kangi Lugola DCJ Kisbo anawatafuna mbwa wa Shekilango wanaotoka 5:30am. Kuna Frester dpp ya Bukopa moto wa kuotea mbali ukija kaskazini kuna mkata shombo DPM zake Judica Mremi chini ya usimamizi wa Shaban Kikoti na Masuki, wakikaa mbele hawa watu sahau kuwakuta.
Ligi bado zipo japokua kuna vingamuzi lakini chuma bado zinapaa.
Hili hapa mkuu,
Umekurupuka kujibu hiyo hoja mkuu,soma alichokiandikaWatu mnajua kulishana matango poli...Alsaedy ni kampuni ya mwarab anaishi Morogoro,New force Ni mchina...yan mbingu na dunia,lakini pia kwa taarifa yako tu Alseady hazinaga mbio kama tunavyoambiwa hapa,mwendo wao ni wa kawaida sana kuzingatia na Sheria za barabarani.
Afu pia heb acheni huo ujinga, sshv hv kila bus imefungwa king'amuz Sasa hayo mashindano wanakuwa wanachomoa hvyo ving'amuz au inakuaje? Mashindano gani ambayo yanahusisha speed limit...heb acheni utoto mambo ya kizamani sna hayo hakuna dereva anafanya huo upuuzi sshv.
Kabisa mkuu,al saedy ameshasanda gameBattle iliyopo sasa hivi ni golden deer na sauli,hasa dpk za kina jaja.Ndo battle kubwa iliyopo now.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwinuka ni mchumba tu, kaachiwa hiz wiki 2 apate kujilikana nae
Lakin kwa mtaji mdogo wa sauli kushindana na muwekezaj Golden deer anajikomesha, bus zenyewe anazo 3 za mkopo na benzi tayari limeshakufa
Sent using Jamii Forums mobile app
We jamaa unajua bei ya Gemilang Scania ya Sauli? Basi tatu za Sauli ni Michina 15 nachenji inarudi Gemilang ni 350,000$ mchina ni 135,000$.
We inaonekana hujui kabisa mambo ya mabasi. Mwinuka kapewa T300DRH mwaka jana gari inapigwa tupa geuka nikukumbushe baada ya New Force na Golden deer kunyanyaswa sana kahamia Shekilango ambapo anaanza safari 5:30am Mwinuka anatoka ubungo 6:10am anamkuta na bado mchina anachezea za uso. Em acha kuongea vitu usivovijua
Naunga mkono hoja..Tufanyaje sasa na shuggul hatuna na kulima sie hatutaki tunataka tukae mjini tu!!Vijana hawana kazi..
Umeongea FACTS mkuu tatizo sio mabasi TATIZO NI BARABARA ZETU ni uchafu tu,kipindi hicho unapanda Scandanavian Bus pale ilipokuwa ofisi ys mabasi ya kamata saa 10jioni upo Tunduma,mnavuka border mnatembea usiku kucha alfajiri mpo LUSAKA!1,siku hizi unabidi upoteze muda Tunduma kwa kulala pale;Windhoek to Katima Mulilo ni zidi ya 1400kms na bus linasafiri umbali huu kwa 17hrs,kikwazo kwetu miundo mbinu yetu bado sana,finish and kraal.All in all sikuhizi mabasi hayatembei kabisa
Zamani Safari ya Dar mbeya saa 10 jioni upo Mbeya...!
Km mtu anaenda Tukuyu na Kyela saa 11 yupo tukuyu saa 12 yupo Kyela..
Jua halijazamaa safari imekwisha..
Na magari ya zamani hayakuwa Mazuri kama haya
Mashine ni Leyland Comet ,DAF , Scania 92 na 93 series ndio zilikuwa zimeanza anza
Scania 93 series 220, 250 -280 ndio ilikuwa msako mkali...!
Mabasi ndio km
Matema Beach Sleeping Coach..
Upete Television Coach
Tawaqal Coach
Hood Transport..
Safina
Embakasi
Mwanahapa (M Sleeping Coach) etc
Yaani ilikuwa ni kutunishiana msuli kweli kweli...
Yaani ilikuwa full burudani...
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaiita Gemilang gari ya kimasikini wakati ina bei kuliko bus yoyote ya kichina? Gemilang hazichongwi Kenya bali zinakuwa manufactured Malaysia na kuwa assembled in Kenya n kampuni ya AVA.Gemilang za kuchonga kenya na engine 95 kawaida ifike hiyo bei? Ungekuwa karibu ningekuzaba kofi 2 af nahesabia 1
Gemilang ni gari za kimaskin zinazovumilia had mwisho wa marejesho ila matajir wote wanatumia vitu original kutoka uchinani.
Hiyo story ya ubungo na shekilango ni ya kipuuzi na huwa sijibu, ndo mana kwa wakongwe wa ligi tunaanza kuhesabaia kuanzia igumbilo had getin NSALAGA
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha stori basi Mwinuka aachiwe na nani ili ajulikane leo? Mwinuka yuko vizuri toka yuko Happynation...unazi wa team yako usikupofushe usione uhalisia.Mwinuka ni mchumba tu, kaachiwa hiz wiki 2 apate kujilikana nae
Lakin kwa mtaji mdogo wa sauli kushindana na muwekezaj Golden deer anajikomesha, bus zenyewe anazo 3 za mkopo na benzi tayari limeshakufa
Sent using Jamii Forums mobile app
Umenikumbusha mbali.. enzi hizo nasoma pale mafinga nilifika saa 6 mchana na upendo ya njombe nikitokea dar..long time sanaKuna siku Golden Deer ilipita Mafinga pale saa 8 na dk 4 Executive Diary,
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbeya Boy Goodluck Mwinuka ananinuooshea DPK za kina Linyama daily,
Sauli ni moto wa kuotea mbali ziko tatu tu lakini anamnyanyasa muwekezaji (New Force na Golden Deer) hatari bado Majinjah ya Swax BUL inasumbua DMG hatari.
Ila hizo zote watoto mbabe wao ni Kangi Lugola DCJ Kisbo anawatafuna mbwa wa Shekilango wanaotoka 5:30am. Kuna Frester dpp ya Bukopa moto wa kuotea mbali ukija kaskazini kuna mkata shombo DPM zake Judica Mremi chini ya usimamizi wa Shaban Kikoti na Masuki, wakikaa mbele hawa watu sahau kuwakuta.
Ligi bado zipo japokua kuna vingamuzi lakini chuma bado zinapaa.
Hili hapa mkuu,
Hii sio scania ni MAN, balaa sana hili dude, Tangu kuumbwa ulimwengu dereva mmoja tu amewah kulikalisha, si mwingine bali kijana wetu LINYAMA kutoka GOLDEN DEER DPK 712.
Sauli akifukuza huu mdude atapasua engine kama lilivyopazuka benz lake bovuView attachment 1348636