Sauli na Al Saedy vinara wa ligi ngumu ya Dar es Salaam - Mbeya

Mbeya Boy Goodluck Mwinuka ananinuooshea DPK za kina Linyama daily,
Sauli ni moto wa kuotea mbali ziko tatu tu lakini anamnyanyasa muwekezaji (New Force na Golden Deer) hatari bado Majinjah ya Swax BUL inasumbua DMG hatari.
Ila hizo zote watoto mbabe wao ni Kangi Lugola DCJ Kisbo anawatafuna mbwa wa Shekilango wanaotoka 5:30am. Kuna Frester dpp ya Bukopa moto wa kuotea mbali ukija kaskazini kuna mkata shombo DPM zake Judica Mremi chini ya usimamizi wa Shaban Kikoti na Masuki, wakikaa mbele hawa watu sahau kuwakuta.
Ligi bado zipo japokua kuna vingamuzi lakini chuma bado zinapaa.
 
Mkuu ulipotea muda mrefu,its nice you back,please route ya Dar to Harare ,bus gani unashauri ,je ni kampuni ngapi zinasafiri hii route,bei zao.
 
Mwinuka ni mchumba tu, kaachiwa hiz wiki 2 apate kujilikana nae

Lakin kwa mtaji mdogo wa sauli kushindana na muwekezaj Golden deer anajikomesha, bus zenyewe anazo 3 za mkopo na benzi tayari limeshakufa
Mbeya Boy Goodluck Mwinuka ananinuooshea DPK za kina Linyama daily,
Sauli ni moto wa kuotea mbali ziko tatu tu lakini anamnyanyasa muwekezaji (New Force na Golden Deer) hatari bado Majinjah ya Swax BUL inasumbua DMG hatari.
Ila hizo zote watoto mbabe wao ni Kangi Lugola DCJ Kisbo anawatafuna mbwa wa Shekilango wanaotoka 5:30am. Kuna Frester dpp ya Bukopa moto wa kuotea mbali ukija kaskazini kuna mkata shombo DPM zake Judica Mremi chini ya usimamizi wa Shaban Kikoti na Masuki, wakikaa mbele hawa watu sahau kuwakuta.
Ligi bado zipo japokua kuna vingamuzi lakini chuma bado zinapaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Weka picha za hilo Aguero tulione

Sent using Jamii Forums mobile app
Hili hapa mkuu,

Hii sio scania ni MAN, balaa sana hili dude, Tangu kuumbwa ulimwengu dereva mmoja tu amewah kulikalisha, si mwingine bali kijana wetu LINYAMA kutoka GOLDEN DEER DPK 712.

Sauli akifukuza huu mdude atapasua engine kama lilivyopazuka benz lake bovu
IMG_20200206_182535.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu mnajua kulishana matango poli...Alsaedy ni kampuni ya mwarab anaishi Morogoro,New force Ni mchina...yan mbingu na dunia,lakini pia kwa taarifa yako tu Alseady hazinaga mbio kama tunavyoambiwa hapa,mwendo wao ni wa kawaida sana kuzingatia na Sheria za barabarani.
Afu pia heb acheni huo ujinga, sshv hv kila bus imefungwa king'amuz Sasa hayo mashindano wanakuwa wanachomoa hvyo ving'amuz au inakuaje? Mashindano gani ambayo yanahusisha speed limit...heb acheni utoto mambo ya kizamani sna hayo hakuna dereva anafanya huo upuuzi sshv.
Umekurupuka kujibu hiyo hoja mkuu,soma alichokiandika
 
Mwinuka ni mchumba tu, kaachiwa hiz wiki 2 apate kujilikana nae

Lakin kwa mtaji mdogo wa sauli kushindana na muwekezaj Golden deer anajikomesha, bus zenyewe anazo 3 za mkopo na benzi tayari limeshakufa

Sent using Jamii Forums mobile app

We jamaa unajua bei ya Gemilang Scania ya Sauli? Basi tatu za Sauli ni Michina 15 nachenji inarudi Gemilang ni 350,000$ mchina ni 135,000$.
We inaonekana hujui kabisa mambo ya mabasi. Mwinuka kapewa T300DRH mwaka jana gari inapigwa tupa geuka nikukumbushe baada ya New Force na Golden deer kunyanyaswa sana kahamia Shekilango ambapo anaanza safari 5:30am Mwinuka anatoka ubungo 6:10am anamkuta na bado mchina anachezea za uso. Em acha kuongea vitu usivovijua
 
Gemilang za kuchonga kenya na engine 95 kawaida ifike hiyo bei? Ungekuwa karibu ningekuzaba kofi 2 af nahesabia 1

Gemilang ni gari za kimaskin zinazovumilia had mwisho wa marejesho ila matajir wote wanatumia vitu original kutoka uchinani.

Hiyo story ya ubungo na shekilango ni ya kipuuzi na huwa sijibu, ndo mana kwa wakongwe wa ligi tunaanza kuhesabaia kuanzia igumbilo had getin NSALAGA

Ninkitambo kirefu sana sikua nimeenda nyanda za juu kusi magharib almost kama 5 years hiv.Enzi hizo kulikua na majina tofauti kidogo na haya ya mabasi yaliopo sasa.

Latelly nimeshuka huko mara ghafla nakutana na hiki chuma kinaitwa SAULI..Aisee nilikipa saluti.Chombo inaamsha kwakwel.Ni balaa tena ni hatar kwa maisha ya raia wa huko sema dah!!!mashine ile ni noma ..Inamwaga moto sio wa nchi hii.

Sku hiyo hiyo nikaivua vyeo vyote chuma yangu KISBO kada ya ziwa
 
All in all sikuhizi mabasi hayatembei kabisa
Zamani Safari ya Dar mbeya saa 10 jioni upo Mbeya...!
Km mtu anaenda Tukuyu na Kyela saa 11 yupo tukuyu saa 12 yupo Kyela..
Jua halijazamaa safari imekwisha..
Na magari ya zamani hayakuwa Mazuri kama haya
Mashine ni Leyland Comet ,DAF , Scania 92 na 93 series ndio zilikuwa zimeanza anza
Scania 93 series 220, 250 -280 ndio ilikuwa msako mkali...!
Mabasi ndio km
Matema Beach Sleeping Coach..
Upete Television Coach
Tawaqal Coach
Hood Transport..
Safina
Embakasi
Mwanahapa (M Sleeping Coach) etc
Yaani ilikuwa ni kutunishiana msuli kweli kweli...
Yaani ilikuwa full burudani...

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeongea FACTS mkuu tatizo sio mabasi TATIZO NI BARABARA ZETU ni uchafu tu,kipindi hicho unapanda Scandanavian Bus pale ilipokuwa ofisi ys mabasi ya kamata saa 10jioni upo Tunduma,mnavuka border mnatembea usiku kucha alfajiri mpo LUSAKA!1,siku hizi unabidi upoteze muda Tunduma kwa kulala pale;Windhoek to Katima Mulilo ni zidi ya 1400kms na bus linasafiri umbali huu kwa 17hrs,kikwazo kwetu miundo mbinu yetu bado sana,finish and kraal.
 
Gemilang za kuchonga kenya na engine 95 kawaida ifike hiyo bei? Ungekuwa karibu ningekuzaba kofi 2 af nahesabia 1

Gemilang ni gari za kimaskin zinazovumilia had mwisho wa marejesho ila matajir wote wanatumia vitu original kutoka uchinani.

Hiyo story ya ubungo na shekilango ni ya kipuuzi na huwa sijibu, ndo mana kwa wakongwe wa ligi tunaanza kuhesabaia kuanzia igumbilo had getin NSALAGA

Sent using Jamii Forums mobile app
Unaiita Gemilang gari ya kimasikini wakati ina bei kuliko bus yoyote ya kichina? Gemilang hazichongwi Kenya bali zinakuwa manufactured Malaysia na kuwa assembled in Kenya n kampuni ya AVA.

Tofautisha ku assemble na manufacturing.
Mwinuka ni mchumba tu, kaachiwa hiz wiki 2 apate kujilikana nae

Lakin kwa mtaji mdogo wa sauli kushindana na muwekezaj Golden deer anajikomesha, bus zenyewe anazo 3 za mkopo na benzi tayari limeshakufa

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha stori basi Mwinuka aachiwe na nani ili ajulikane leo? Mwinuka yuko vizuri toka yuko Happynation...unazi wa team yako usikupofushe usione uhalisia.
 
Mkuu Majinja ya hatari kuliko zote ni ile Volvo CSN ile hakuna mchina anayefuata zaidi ya mara 5 nilipanda Golden Deer tumefukuzana nayo mlimanai inakuacha kama umesimama nilipohamia kuipanda ndo raha tupu japo halina sura nzuri ila Nyoko
Mbeya Boy Goodluck Mwinuka ananinuooshea DPK za kina Linyama daily,
Sauli ni moto wa kuotea mbali ziko tatu tu lakini anamnyanyasa muwekezaji (New Force na Golden Deer) hatari bado Majinjah ya Swax BUL inasumbua DMG hatari.
Ila hizo zote watoto mbabe wao ni Kangi Lugola DCJ Kisbo anawatafuna mbwa wa Shekilango wanaotoka 5:30am. Kuna Frester dpp ya Bukopa moto wa kuotea mbali ukija kaskazini kuna mkata shombo DPM zake Judica Mremi chini ya usimamizi wa Shaban Kikoti na Masuki, wakikaa mbele hawa watu sahau kuwakuta.
Ligi bado zipo japokua kuna vingamuzi lakini chuma bado zinapaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nakubali nakubali hizi chuma huwa nyoko sana hata huyo Linyama akirudia tena anaweza kukaanga mashine yake....unataka kuniambia sauli ile benz imekaanga?
Hili hapa mkuu,

Hii sio scania ni MAN, balaa sana hili dude, Tangu kuumbwa ulimwengu dereva mmoja tu amewah kulikalisha, si mwingine bali kijana wetu LINYAMA kutoka GOLDEN DEER DPK 712.

Sauli akifukuza huu mdude atapasua engine kama lilivyopazuka benz lake bovuView attachment 1348636

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hakuna basi inayoanzia shekilango huu ni uongo...gari zote zinatoka ubungo terminal pale.

Back
Top Bottom