Li ngunda ngali
JF-Expert Member
- Jun 22, 2023
- 707
- 2,572
Biashara ya mabasi ya abiria kwa Dunia ya leo si ya kushadadia ma mbio yasiyo na tija bali ni akili yenye wingi wa ubunifu ndaniye kwa mambo yatakayomvutia abiria taraji...
Kwani basi moja ni elfu ngapi?Mtanzania gani utampa investment ya mamilioni akakutafutie pesa kama wanavyoita wao?
Ukweli mchungu hakuna mwenye bus au Lori atatoboa.
Hata latra hilo wanajua.
Wote unaowaona ni just a matter of time.
Kwani basi moja ni elfu ngapi?
Unaweza kuwa sahihi mkuu, ila tu kwa taarifa yako Marehemu Sauli alikuwa kishaagiza unit 6 za yutong. Sema mipango ya Mungu si ya mwanadamu. Aendelee kupumzika alipojiandalia.Biashara ya mabasi ya abiria kwa Dunia ya leo si ya kushadadia ma mbio yasiyo na tija bali ni akili yenye wingi wa ubunifu ndaniye kwa mambo yatakayomvutia abiria taraji...
Marehemu Sauli akiwa na mawakala wa Yutong nyakati za mwisho za uhai wakeUnaweza kuwa sahihi mkuu, ila tu kwa taarifa yako Marehemu Sauli alikuwa kishaagiza unit 6 za yutong. Sema mipango ya Mungu si ya mwanadamu. Aendelee kupumzika alipojiandalia.
Mimi sina maana na kushangaa unavyosema hakuna mtanzania anaweza pata mamillioni kwenye biashara ya usafirishaji wakati hayo magari tu ni ya mamillioni ya pesa au huwa wanayaokota?Kwani wewe unayo mangapi?

π π π Itakuwa mademWewe umefirisiwa na nan
Mimi sina maana na kushangaa unavyosema hakuna mtanzania anaweza pata mamillioni kwenye biashara ya usafirishaji wakati hayo magari tu ni ya mamillioni ya pesa au huwa wanayaokota?Kwani wewe unayo mangapi?
Mimi sina maana na kushangaa unavyosema hakuna mtanzania anaweza pata mamillioni kwenye biashara ya usafirishaji wakati hayo magari tu ni ya mamillioni ya pesa au huwa wanayaokota?
Hakuna sayansi inayokubaliana na hoja zako. Gari hata ikitembea kwa speed 5km/ hour itachakaa tu.Biashara ya mabasi ya abiria kwa Dunia ya leo si ya kushadadia ma mbio yasiyo na tija bali ni akili yenye wingi wa ubunifu ndaniye kwa mambo yatakayomvutia abiria taraji...
Hakika mkuuMarehemu alikuwa mtu wa watuu sanaaa ππ