Sauli ni mfano wa wamiliki wa mabasi waliofilisiwa na madereva fake

Hakuna sayansi inayokubaliana na hoja zako. Gari hata ikitembea kwa speed 5km/ hour itachakaa tu.

Kwani walioweka gari ifike 180 km/ hour walimaanisha nini?

ACHENI HOJA ZA KIJINGA. leta sababu zingine
Sijajua amefikiriaje mwenzetu lakini angepiga hesabu za kina, Je SAULI zilikuwa gari za aina gani zimetumika mda gani na Je yeye ndo alikuwa wa kwanza kuzitumia ? Kuchakaa ni inevitable atafute namna nyingine ya kuliweka hili.
 
Unaijua mikopo waliyo nayo?
 
Toa ushahidi kuwa mwendo kasi ndio imesababisha magari yake kuharibika.
 
Hakuna sayansi inayokubaliana na hoja zako. Gari hata ikitembea kwa speed 5km/ hour itachakaa tu.

Kwani walioweka gari ifike 180 km/ hour walimaanisha nini?

ACHENI HOJA ZA KIJINGA. leta sababu zingine
Hyo km 180 per hour kwenye barabara gani mkuu? Ni pamoja na hizi zetu zenye matuta kila baada mita 500?
 
sauli alikuwa anategemea pesa kidogo tu toka kwenye mabasi, biashara yake ilikuwa dhahabu na mabasi yake yale alikuwa anafanyia magendo ya kusafirisha dhahabu. hata asipopata abiria alikuwa hali hasara. ndio fununu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…