SAUT pekee ndiyo Chuo Kikuu kisichojipendekeza kwa wanasiasa kwa kutoa PhD zisizo na maana

SAUT pekee ndiyo Chuo Kikuu kisichojipendekeza kwa wanasiasa kwa kutoa PhD zisizo na maana

Bro kama hujui jambo ni hekima kukaa kimya.
"Kutoa PhD kwa watu mbalimbali ambao siyo wanafunzi ni jambo ambalo halijaanza leo na lipo dunia nzima."
mliposema tuhamie Burundi Mimi sikwenda nilikuwapo tu hapa toka miaka ya sitini.
 
Kama kuna Mzazi ambaye hujampeleka Mwanao kusoma SAUT Mwanza jua umepoteza bahati Kubwa na Ijutie sana.
Kama mzazi atakuwa anampeleka mwanae chuo kikuu kama vile alivyomwandikisha darasa la kwanza basi mzazi na mtoto wote kwa pamoja ni MAPOPOMA. Chuo kikuu cha SAUT huwa nakiheshimu sana ila kila ninapokumbuka kuwa kilimtunuku POPOMA GENTA degree nakishushia heshima hapohapo.
 
CHUO CH A15 NACHO UNAITA CHUO SI KAMA NURSERY TU
Mwanzo ulisema SAUT siyo Chuko Kikuu na baada ya kukupa Ushahidi wa kutoka TCU ili kukuonyesha Upumbavu wako sasa umebadilika na unahoji kwanini ni cha 15. Mbona huhoji kwanini pamoja na kuwa na Mabasha zako 15 ila bado tu hutosheki nao na unapenda bado Kupiga Miluzi tu?
 
Back
Top Bottom