Ukweli tuna uhaba wa Madaktari, ila sio kwamba hawapo, Serikali ndio haijajiri, wengi wapo mtaani tu. Wachache wako na ajira, ni kama ishu ya Walimu, uhaba kwenye shule ni mkubwa ila wengi wapo mtaani bila ajira.Tuna tatizo la uhaba wa madaktari nchini ukilinganisha Na mahitaji na idadi ya watu hivyo uamuzi ulofanywa wananchi hatuwezi kukubaliana nao mpaka tupewe ufafanuzi wa kina.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji41] yeye ya kwake ufutwe kbsa ikiwezekana apelekwe mahakamaniWameanza kujitambua.. haraka sana wageukie kwenye upande wa degree za uandishi wa habari wazifute zote zenye ukakasi wakianza na ya huyu popoma GENTAMYCINE
Hao bado Wapo mkuu ni College bado hizoAsante Mkuu!Nafikiri kama ilivyo Mwenge Cha Moshi au Jordan.
Hapana Mkuu!Mwenge waliondoka huku tangu 2014 nafikiri,kutoka Mwenge college of education kuwa Mwenge Catholic University (MWECAU).Hao bado Wapo mkuu ni College bado hizo
Kutorudisha nakala za masomo......
Naomba mtu anieleweshe hapo kosa lipo wapi? Na ina maana chuo inazo orijino lakini inadai nakala (copy) walizonazo wahitimu zirudishwe.
Je kitaaluma imekaaje hii
Nenda kwa Millard Msikilize VC wa SAUT Prof Mahalu ameeleza vizuri sana, Watu wamebembekezwa toka 2020/2021 wapo waliotii na wanaendelea kutii na wanapokelewa ila wachache ndio wamegomaTanzania ni Nchi yenye watu wenye roho mbaya sana wakati wangeweza kuwaita hao madaktari wakafanya huo mtihani wenye mashaka nao sema wanajikinga kwenye kivuli cha ukalimu wa kinafiki watu wana roho mbaya kumzidi hata huyo shetani wao ....hivyo viseneti vyao vikikaa kwenye kutunga kitu hakuna kitu cha maana watakuja nacho ni upuuzi mtupu...kwa maamuzi ya hovyo ya namna hiyo wataendelea kuwa na hao watoa maamuzi ya hovyo mpaka lini?
Hilo kosa ni la nani ni wanafunzi wanatakiwa kuweka matokeo kwa usahihi au?Nenda kwa Millard Msikilize VC wa SAUT Prof Mahalu ameeleza vizuri sana, Watu wamebembekezwa toka 2020/2021 wapo waliotii na wanaendelea kutii na wanapokelewa ila wachache ndio wamegoma
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119]Sasa mpaka wanapewa hizo transcript uongozi ulikuwa aujui kama hazijasainiwa au uyo mgawaji alikuwa kipofu baada ya miaka kadhaa ndio akapata kuona yani bongo bhana
Sent from my vivo 2015 using JamiiForums mobile app
Walichukuaje kinyemela bila kupewa?Nadhani hao wahitimu wanadaiwa ada na chuo , ndio maana walifanya mpango kuchukua nakala kinyemela
Watanzania wanajua laumu tu na kukurupukaNenda kwa Millard Msikilize VC wa SAUT Prof Mahalu ameeleza vizuri sana, Watu wamebembekezwa toka 2020/2021 wapo waliotii na wanaendelea kutii na wanapokelewa ila wachache ndio wamegoma
Uongozi pia unakosa na ndio maana tayari viongozi wawili wa juu walishaachishwa kazi mkuu, Ila haihalalishi na wao wakaidiHilo kosa ni la nani ni wanafunzi wanatakiwa kuweka matokeo kwa usahihi au?
Mwanzoni nilikuwa naona CHUO kina kosa ila baada ya kumsikiliza vizuri VC na namna ambavyo ameelezea hilo suala kiundani nimeona ni ubishi tu ambao hauna maana
Mkuu mimi naona wamefanya kienyeji sana je kwa wanafunzi wanaodhaminiwa na kama walitoka Nje ya Nchi inakuaje hapo ?Uongozi pia unakosa na ndio maana tayari viongozi wawili wa juu walishaachishwa kazi mkuu, Ila haihalalishi na wao wakaidi
Genius wao niliyeweka rekodi mwaka 2006 chumba cha M9 ya kufanya Mtihani wa Uchumi kwa dakika 53 tu ( wakati muda wa Mtihani ulikuwa ni Masaa Matatu ) na Matokeo yalipotoka nikapata A ya 93%Wafute na ya Popoma GENTAMYCINE
Toka 2020/2021 taarifa haiwezi kukufikia mkuu wametoa tangazo zaidi ya mara 3 mkuu Almunus huwa mnanjia zenu za kupashana habari kuhusu chuo na darasa lenu kwa ujumla unafikiri hawakuiona hiyo taarifa!!Mkuu mimi naona wamefanya kienyeji sana je kwa wanafunzi wanaodhaminiwa na kama walitoka Nje ya Nchi inakuaje hapo ?