Msolo
JF-Expert Member
- Oct 19, 2008
- 2,713
- 3,559
Ukweli tuna uhaba wa Madaktari, ila sio kwamba hawapo, Serikali ndio haijajiri, wengi wapo mtaani tu. Wachache wako na ajira, ni kama ishu ya Walimu, uhaba kwenye shule ni mkubwa ila wengi wapo mtaani bila ajira.Tuna tatizo la uhaba wa madaktari nchini ukilinganisha Na mahitaji na idadi ya watu hivyo uamuzi ulofanywa wananchi hatuwezi kukubaliana nao mpaka tupewe ufafanuzi wa kina.