SAUT yafuta degree za Madaktari wa Afya 162 waliohitimu Chuo cha Mt. Francis

Mkuu hatuwezi kuelewana wacha tuishie hapa naona tunaanza upya wacha nisome magazeti naona yana taarifa za CAG zinakua kama taarifa za mpira sioni zikifanyiwa kazi mpaka watu wapige kelele haya ndio madhara yake nadhani utakua umenielewa...
 
Mkuu hatuwezi kuelewana wacha tuishie hapa naona tunaanza upya wacha nisome magazeti naona yana taarifa za CAG zinakua kama taarifa za mpira sioni zikifanyiwa kazi mpaka watu wapige kelele haya ndio madhara yake nadhani utakua umenielewa...
Taarifa za CAG zinaumza sana
 
Nenda kwa Millard Msikilize VC wa SAUT Prof Mahalu ameeleza vizuri sana, Watu wamebembekezwa toka 2020/2021 wapo waliotii na wanaendelea kutii na wanapokelewa ila wachache ndio wamegoma
kwan hizo process za kurudisha transcript hazina gharama je walisema watawapa fidia ? mkataba wao ulikuwa miaka 5 na wa sita intern kama iliishia bas Chuo kilibidi kijishushe maana ni makosa yao
 
Watanzania wanajua laumu tu na kukurupuka

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
ttzo hutak fikir nje ya box , ww unameza tu huchambui , walimaliza chuo na wakapata transcript zao means Chuo kilijiridhisha ( sio wajibu wa mwanafunz huu ) then wakawap wanafunzi , sasa kusema mtu yupo USA aje akulete transcript kea gharama yake na ale muda wake unaona ni sawa hii ? wizara iwafanyie training hawa wakufunzi
 
unavuliwa ukikiuka miiko ya taaluma ila sio kutaka kumwendesha mtu ukijisikia tu , huez mtoa mtu kazin kwa makosa ya chuo ( hapa ndo hupaoni ) mentality ya ujamaa imewafanya watz kutojua haki zao na wajibu wao ndio maana malecture wanajikuta miungu watu
 
gharama za kurudish transcript walikuwa wanawalipa ? unajua uchumi wa mtu baada ya kumaliza chuo ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…