Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Mkuu hatuwezi kuelewana wacha tuishie hapa naona tunaanza upya wacha nisome magazeti naona yana taarifa za CAG zinakua kama taarifa za mpira sioni zikifanyiwa kazi mpaka watu wapige kelele haya ndio madhara yake nadhani utakua umenielewa...Toka 2020/2021 taarifa haiwezi kukufikia mkuu wametoa tangazo zaidi ya mara 3 mkuu Almunus huwa mnanjia zenu za kupashana habari kuhusu chuo na darasa lenu kwa ujumla unafikiri hawakuiona hiyo taarifa!!
Pande zote zinamakosa mkuu kubali tu na baadhi ya Graduates wanamakosa!!