SAUT yafuta degree za Madaktari wa Afya 162 waliohitimu Chuo cha Mt. Francis

Nafikiri tunahukumu bila kujua (hata Mimi sijui) ila nahisi hawajaonewa coz tangu 2015 unaambiwa rudisha hutaki maana yake umekaidi, na hizi award za masomo hazimilikiwi na mtu zinamilikiwa na taasisi husika wakiamua kufuta wanafuta tu, kama watoto was 2012 walivyofutiwa kisha wakarekebishiwa 😄😄
 
Huo ni mwanzo tu, kuna PhD za kufutwa haraka iwesekanavyo.
1. Dr Abood
2. Dr musukuma
3. Dr Biteko
4. Dr. Gwajima Bishop
5. Dr Samia
6. Dr Hans M
6. Dr Jafo
Ongezeeni wengine
Wamesema Shahada za madaktari 162 na majina yao yameoneshwa. Hao uliowataja hapo juu👆👆👆hawamo. Ww komaa na hali yako bro. usitafute wa kufa naye.
 
Chuo chochote duniani kina haki ya kukunyang’anya degree yao. Hata UDSM unaweza pokonywa wakigundua kuna makosa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…