SAUT yafuta degree za Madaktari wa Afya 162 waliohitimu Chuo cha Mt. Francis

SAUT yafuta degree za Madaktari wa Afya 162 waliohitimu Chuo cha Mt. Francis

Soma charters za vyuo. Degree ni mali ya chuo husika. It can be revoked at anytime in case of justifiable abuse. Tafuta kisa cha waziri mmoja wa Ujerumani aliyevuliwa degree baada ya miaka kumi utaelewa.

No yule waziri alifanya plagiarism kwenye research ya mtu mwingine.
 
si ndio hapo kwa kweli mimi sijawaelewa kwa hiyo si seneti liwaidhinishe ili mambo yaendelee kama walifaulu mitihani yao?
Kama ndio mimi nawapeleka mahakamani

Nashindwa kuelewa wanazunguka Nini. Seneti ina uwezo wa kujua Nani kapasi na Nani hajapass Basi. Mengine haya ni ubabe usio na maana.
 
Wanyanganye GENTAMYCINe shahada aliyopewa ya mass communication kwani jamaa huyu anatumia shahada hiyo ndivyo si hvyo

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Jamani Eeee; Rudisheni makaratasi ya watu mambo yaishe. Mkivutana nao hao watu, watawaharibia. Kubalini yaishe muendelee kutuwekea stethoscope kifuani na kutuchoma sindano. Ni hayo tu. 🏃‍♂️
Maamuzi yameshatoka. Hata wakirudisha haisaidii.
 
Hata kufuta cheti Kuna utaratibu wake. Sio kufuta tu. Waende mahakamani waweke zuio kwanza.
Ujue zuio huwa lachelewesha jambo tu. Ni sawa umevamia kiwanja cha mtu ukajenga akashinda kesi, ukaweka zuio, hiyo nyumba ataivunja tu ni swala la muda.

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Ujue zuio huwa lachelewesha jambo tu.
Ni sawa umevamia kiwanja cha mtu ukajenga akashinda kesi, ukaweka zuio, hiyo nyumba ataivunja tu ni swala la muda

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app

Zuio linawekwa kabla ya kesi ya msingi sio Rufaa. Mfano wako upo nje kidogo. Huwezi kuweka injunction kwenye rufaa.
 
Nafkiri tunahukumu bila kujua (hata Mimi sijui) ila nahisi hawajaonewa coz tangu 2015 unaambiwa rudisha hutaki maana yake umekaidi, na hizi award za masomo hazimilikiwi na mtu zinamilikiwa na taasisi husika wakiamua kufuta wanafuta tu, kama watoto was 2012 walivyofutiwa kisha wakarekebishiwa [emoji1][emoji1]
Kwahiyo waliwaambia toka mwaka 2015 halafu wakawapa wengine tena mpaka 2019.
 
Back
Top Bottom