Msitari wa pambizo
JF-Expert Member
- Sep 25, 2014
- 3,098
- 5,451
Ni nani atakuamini kama humo kichwani una elimu ya degree kama huna cheti? Cheti ndio uthibitisho wa kwamba wew ni daktari, muhasibu au mwalimu. Kama hauna cheti hakuna atakayekubebea dhamanaCheti cha degree ni mali ya Chuo. Elimu uliyoipata sio mali ya chuo. Kwa shahada hizi zisizohitaji sana kutoa cheti ili ufanye kazi, vyeti unasahau vilipo au vinavyofanana.