SAUT yafuta degree za Madaktari wa Afya 162 waliohitimu Chuo cha Mt. Francis

SAUT yafuta degree za Madaktari wa Afya 162 waliohitimu Chuo cha Mt. Francis

Kama shahada ya PhD mtu anaweza kufutiwa kirahisi hivyo, basi ni HALALI 100% kuinunua kama wafanyavyo baadhi ya raia wa Jamhuri ya Mgongano wa Bongolala.

NB: Don't try it at home! 🙂
 
Hilo baraza la seneti limejaa wakoloni watupu kwahiyo kama hao madaktari walishaajiriwa makazini ndio wanakuwa sio madaktari tena kwa ajili ya karatasi moja tu ya matokeo?
Usipende kulalamika, zingatia utaratibu, waliofuta hawakukurupuka, wametumia vifungu na vifungu hivyo wamekutajia.
 
Hilo baraza la seneti limejaa wakoloni watupu kwahiyo kama hao madaktari walishaajiriwa makazini ndio wanakuwa sio madaktari tena kwa ajili ya karatasi moja tu ya matokeo?

Waende mahakamani wakazuie utekelwezaji wa maamuzi ya SAUT.
 
Na lenyewe linatakiwa lifukuzwe kwakweli, kosa la miaka 8 iliyopita wanakuja kulitatua leo. Wanatuambia wametupa madaktari wasio na vigezo kututibu miaka 7 sasa.. Upande wa pili mtu alishasettle wanaenda kumtibulia..

Au senete itengue uprofesa wao, vihiyo hawa..

Senate ya kijinga kabisa. Unafanyaje maamuzi miaka yote sita?. Huoni unaleta sintofahamu. Wamekataa kurudisha transcript mliwapa za Nini? Si mngesubiria hiyo seneti ikae.
 
Mimi hapa nafikiri walitaarifiwa warejeshe lakini wakakaida nafikiri hilo ndilo lililosumbua hasa mpaka wakaamu kuwaweka hadharani moja kwa moja
 
Nafkiri tunahukumu bila kujua (hata Mimi sijui) ila nahisi hawajaonewa coz tangu 2015 unaambiwa rudisha hutaki maana yake umekaidi, na hizi award za masomo hazimilikiwi na mtu zinamilikiwa na taasisi husika wakiamua kufuta wanafuta tu, kama watoto was 2012 walivyofutiwa kisha wakarekebishiwa [emoji1][emoji1]
Kwanini wamekuwa wakizitoa kwa miaka hiyo yote?

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
tukiacha kila mtu afanye anavyofikiria kichwani mwake mambo hayataenda.taratibu ziko wazi fuata kuepuka usumbufu na kama unadhani degree ni kile tu kilichopo kichwani kazi kwako kama utatumia kichwa kuomba kazi.

Sio kweli, kwenye hili SAUT wamekosea. Huwezi kumpa mtu cheti ambacho hazijaidhinishwa na Senate. SAUT wametengeneza tatizo sasa wanawadhibu wengine.
 
Sio kweli, kwenye hili SAUT wamekosea. Huwezi kumpa mtu cheti ambacho hazijaidhinishwa na Senate. SAUT wametengeneza tatizo sasa wanawadhibu wengine.
Si ndio hapo kwa kweli, mimi sijawaelewa kwa hiyo si seneti liwaidhinishe ili mambo yaendelee kama walifaulu mitihani yao? Kama ndio mimi nawapeleka mahakamani.
 
Kutorudisha nakala za masomo......
Naomba mtu anieleweshe hapo kosa lipo wapi? Na ina maana chuo inazo orijino lakini inadai nakala (copy) walizonazo wahitimu zirudishwe.

Je kitaaluma imekaaje hii

Nadhani Kuna kitu SAUT wanaficha. Inawezekana IT wao alisaidia baadhi ya watu kwa Siri bila kujulikana.
 
Back
Top Bottom