Sauti Sol kutengana kwa muda usiofahamika, Mashabiki wagoma kuelewa

Sauti Sol kutengana kwa muda usiofahamika, Mashabiki wagoma kuelewa

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
Kundi hilo la Muziki linaloundwa na Mastaa wa kiume 4 kutoka Kenya, Bien-Aime Baraza, Willis Chimano, Polycarp Otieno na Savara Mudigi, limetangaza kuwa litatengana baada ya kuwa pamoja kwa miaka 20.

Kwa mujibu wa taarifa, Kundi hilo litatengana rasmi baada ya kumaliza ziara yao Desemba 16, 2023 na kila mmoja wao ataendelea kufanya shughuli zake binafsi ingawa urafiki na uhusiano wao hautavunjika.

Sauti Sol wanatarajia kuanza ziara ya Kimataifa Mei 21, 2023 kwa kufanya matamasha 23 kwenye Nchi za Ulaya na Marekani na watamaliza kwa kufunga ukurasa wao Jijini Nairobi Desemba 16, 2023.

=============
Screenshot 2023-05-20 191425.png

Screenshot 2023-05-20 191359.png
Kenyan boy band Sauti Sol has announced that the group will take an indefinite hiatus from the Kenyan music scene after the end of their world tour which kicks off on May 21.

The band will perform in five cities in the US, 10 cities in Europe and four in Canada before performing alongside Boys II Men on June 10 and 11 in Nairobi.

They will crown it off with a final performance at the third edition of the Sol Fest in Nairobi on December 16, 2023.

“Sauti Sol has been an incredible journey for us, both as musicians and friends. We are filled with gratitude for the love and support we have received throughout the years. While we take this hiatus to pursue our individual and collective passions, we remain committed to our friendship and our shared businesses. The bond between us is unbreakable, and we are excited for what the future holds,” the band said in a statement released on their social media pages on May 20.

Solo music
Besides releasing songs jointly, the band members, Bien-Aime Baraza, Willis Chimano, Polycarp Otieno and Savara Mudigi, have been releasing solo music under their personal brands, while still signed to the Sol Generation music label they founded together.

Their fans took to social media to express their dismay at the sudden news, with some asking why the group had made such a decision.

“Guys, just fix it. We are really rooting for you guys. You are the face of the Kenyan music industry but if you think that it will do more good than harm so be it,” Fashion designer Nimrod Nick commented on the band’s post on Instagram.

It is still not clear if the band is breaking up or just taking a break as they did in 2021.

With five albums and over 40 songs to their name, the band has promised to release a final album for their fans as a fitting reflection of their musical journey together.

NATION
 
Kundi la Sauti Sol kutokea nchini Kenya wametangaza kuwa watapumzika kufanya kazi pamoja kama kundi kwa muda usiojulikana baada ya kufanya kazi pamoja kwa miaka 20.

Sauti Sol kabla ya kutengana watafanya ziara ya dunia ambapo watatumbuiza katika mataifa mbalimbali

Katika taarifa yao waliyoitoa siku ya leo wamesisitiza kwamba urafiki wao kama kundi utaendelea na watashirikiana katika mambo ya biashara.

Kundi pekee east Afrika ambalo halina dalili za kuvunjika hivi karibuni n weusi pekee pamoja na makubwa waliyofanya kwenye industry, wapewe maua yao.

20230520_222723.jpg
 
#BURUDANI Kundi la Sauti Sol kutokea nchini Kenya wametangaza kuwa watapumzika kufanya kazi pamoja kama kundi kwa muda usiojulikana baada ya kufanya kazi pamoja kwa miaka 20.

Sauti Sol kabla ya kutengana watafanya ziara ya dunia ambapo watatumbuiza katika mataifa mbalimbali

Katika taarifa yao waliyoitoa siku ya leo wamesisitiza kwamba urafiki wao kama kundi utaendelea na watashirikiana katika mambo ya biashara.

#SautiSol #EastAfricaTV #TogetherTunawakilisha.

Kundi pekee east Afrika ambalo halina dalili za kuvunjika hivi karibuni n weusi pekee pamoja na makubwa waliyofanya kwenye industry , wapewe mauwa yao[emoji91][emoji94]View attachment 2629301View attachment 2629302
Choko ni yupi kati yao?
 
Sad
 
Nafikiri tungeacha ku judge personality ya mtu mmoja mmoja , ila tu focus kwenye hasara ya muziki kwa ujumla kwani kama Afrika tuta kosa burudani na muziki mzuri kutoka kwao,

Kumbuka hata bongo walisha wahi kuja kufanya show na watu wengi sana walijaa nakumbuka ilikua n pale wearhouse zaman palikuwa nextdoor arena na kiingilio kilikuwa n bei ghali sana ila watu walijaa sana
 
Back
Top Bottom