Sauti Sol kutengana kwa muda usiofahamika, Mashabiki wagoma kuelewa

Sauti Sol kutengana kwa muda usiofahamika, Mashabiki wagoma kuelewa

Ukweli usemwe, huyo upinde kaenda kuolewa na mumewe amemkataza kufanya mziki so kwa haraka haraka wameona wavunje kundi. #HallandCity

Sent from my Infinix X693 using JamiiForums mobile app
 
Ila watu sasa mke wa mtu kakuboajee?? Kakuibia mumeo? Eve wee nae lol
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Angefirwa kimya sie akaendelea kutupa burudani tu sasa kujitangaza ili iwe nini? Unadhani kwa tusiokubaliana na hilo tutaendelea kupenda mziki wao?? Shida yenu ndio hiyo kutaka kutangaza habari za miknd yenu tumieni kimya muendelee na maisha yenu
 
Wapo kama Manyumbu wanapelekeshwa huku na kule, ushamba umejaa hii nchi hajulikani msomi nani, kilaza nani wote hali moja,

Nahisi huu moshi wa Mwenge una namna unaathiri akili za Watanzania wengi.

Sasa mkuu watu wakichukizwa na maisha binafsi ya mtu na wakaeleza hilo nalo linakuwa ushamba???

Yeye/wao walitumia haki yao ya kibinaadam kuamua matumizi ya miili yao,nasisi tunatumia haki hiyo hiyo kujieleza kwamba NO hatujafurahishwa na hilo.
 
Angefirwa kimya sie akaendelea kutupa burudani tu sasa kujitangaza ili iwe nini? Unadhani kwa tusiokubaliana na hilo tutaendelea kupenda mziki wao?? Shida yenu ndio hiyo kutaka kutangaza habari za miknd yenu tumieni kimya muendelee na maisha yenu

Kwamba tuache kununua mziki wake tukanunue kizibo chake[emoji23][emoji23][emoji23].
 
Back
Top Bottom