Sauti Sol kutengana kwa muda usiofahamika, Mashabiki wagoma kuelewa

Sauti Sol kutengana kwa muda usiofahamika, Mashabiki wagoma kuelewa

Sauti sol ina miaka 20 ??.... Nilijua ni miaka kama 15 tu Ila nitamiss good music maana East Africa kulikuwa hakuna group kali kama lao, yamoto na Elani walikuja vizuri wakakata pumzi mapema 😩

Muda wa Bien kuwa mega solo artist na Hart man band kusepa na kijiji
 
Sasa mkuu watu wakichukizwa na maisha binafsi ya mtu na wakaeleza hilo nalo linakuwa ushamba???

Yeye/wao walitumia haki yao ya kibinaadam kuamua matumizi ya miili yao,nasisi tunatumia haki hiyo hiyo kujieleza kwamba NO hatujafurahishwa na hilo.

Huoni kama ni ushamba kuchukizwa na maisha binafsi ya mtu tena mtu asiyekuhusu kidole wala ukucha, yaan unaweka chuki kwa maisha binafsi ya mtu badala ya kuenjoy mziki mzuri!

#Huo ni Ushambaaaaaaa

Btw, hakuna haki ya kibinaadam ya kuchukizwa na maisha binafsi ya mtu, umechemka[emoji28]
 
Sauti sol ina miaka 20 ??.... Nilijua ni miaka kama 15 tu Ila nitamiss good music maana East Africa kulikuwa hakuna group kali kama lao, yamoto na Elani walikuja vizuri wakakata pumzi mapema [emoji30]

Muda wa Bien kuwa mega solo artist na Hart man band kusepa na kijiji
Yes, hart the band wata take over ila kama nao hawata vunjika
 
Back
Top Bottom