Sauti Sol kutengana kwa muda usiofahamika, Mashabiki wagoma kuelewa

Sauti Sol kutengana kwa muda usiofahamika, Mashabiki wagoma kuelewa

#BURUDANI Kundi la Sauti Sol kutokea nchini Kenya wametangaza kuwa watapumzika kufanya kazi pamoja kama kundi kwa muda usiojulikana baada ya kufanya kazi pamoja kwa miaka 20.

Sauti Sol kabla ya kutengana watafanya ziara ya dunia ambapo watatumbuiza katika mataifa mbalimbali

Katika taarifa yao waliyoitoa siku ya leo wamesisitiza kwamba urafiki wao kama kundi utaendelea na watashirikiana katika mambo ya biashara.

#SautiSol #EastAfricaTV #TogetherTunawakilisha.

Kundi pekee east Afrika ambalo halina dalili za kuvunjika hivi karibuni n weusi pekee pamoja na makubwa waliyofanya kwenye industry , wapewe mauwa yao[emoji91][emoji94]View attachment 2629301View attachment 2629302
Hapo hamna mzima. Kwa vipimo vya Macho tu wote washafukuliwa tope.
 
#BURUDANI Kundi la Sauti Sol kutokea nchini Kenya wametangaza kuwa watapumzika kufanya kazi pamoja kama kundi kwa muda usiojulikana baada ya kufanya kazi pamoja kwa miaka 20.

Sauti Sol kabla ya kutengana watafanya ziara ya dunia ambapo watatumbuiza katika mataifa mbalimbali

Katika taarifa yao waliyoitoa siku ya leo wamesisitiza kwamba urafiki wao kama kundi utaendelea na watashirikiana katika mambo ya biashara.

Kundi pekee east Afrika ambalo halina dalili za kuvunjika hivi karibuni n weusi pekee pamoja na makubwa waliyofanya kwenye industry, wapewe maua yao.

View attachment 2629302

Ni mbinu ya biashara hiyo!
Watakavyorudi, watatengeneza pasa nyingi sana!!!
 
Wapo kama Manyumbu wanapelekeshwa huku na kule, ushamba umejaa hii nchi hajulikani msomi nani, kilaza nani wote hali moja,

Nahisi huu moshi wa Mwenge una namna unaathiri akili za Watanzania wengi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa kwelii.
 
Angefirwa kimya sie akaendelea kutupa burudani tu sasa kujitangaza ili iwe nini? Unadhani kwa tusiokubaliana na hilo tutaendelea kupenda mziki wao?? Shida yenu ndio hiyo kutaka kutangaza habari za miknd yenu tumieni kimya muendelee na maisha yenu
Kheeeh yaan chimanoo ajibanee kisa wee Eve kupenda mziki wao? Wee unapenda mziki wao au maisha yao binafsi nje ya mziki?? Mbna unachanganyaaa??

Nweii haiwapunguzii kituu, utawasikiliza wengine waliobako, yeye hizo sio shida zake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sasa mkuu watu wakichukizwa na maisha binafsi ya mtu na wakaeleza hilo nalo linakuwa ushamba???

Yeye/wao walitumia haki yao ya kibinaadam kuamua matumizi ya miili yao,nasisi tunatumia haki hiyo hiyo kujieleza kwamba NO hatujafurahishwa na hilo.
Sasa unataka wakufurahishe wee? Yaan maisha yake binafsi afu akufurahishee wee?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Dunia haiishi maajabu wallah.
 
Huoni kama ni ushamba kuchukizwa na maisha binafsi ya mtu tena mtu asiyekuhusu kidole wala ukucha, yaan unaweka chuki kwa maisha binafsi ya mtu badala ya kuenjoy mziki mzuri!

#Huo ni Ushambaaaaaaa

Btw, hakuna haki ya kibinaadam ya kuchukizwa na maisha binafsi ya mtu, umechemka[emoji28]
Ahsanteeeeee dear
Ongezaa sautiiiiii.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kheeeh yaan chimanoo ajibanee kisa wee Eve kupenda mziki wao? Wee unapenda mziki wao au maisha yao binafsi nje ya mziki?? Mbna unachanganyaaa??

Nweii haiwapunguzii kituu, utawasikiliza wengine waliobako, yeye hizo sio shida zake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wao wakipata bebez ruksa kujisnap nao, Chimano kapata bebe wanataka ajifiche, ubinafsi wa wabongo na roho za kutu.
 
Wao wakipata bebez ruksa kujisnap nao, Chimano kapata bebe wanataka ajifiche, ubinafsi wa wabongo na roho za kutu.
Shangaa nawee hapo, mtu kapata Mzungu wake asiji mwaye mwaye hiyo vepee? Eti kuogopa mtu yupo Mtogolee inahuuu??? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Wabongo bhanaa wananiachaga hoi kweliii.
 
Back
Top Bottom