#BURUDANI Kundi la Sauti Sol kutokea nchini Kenya wametangaza kuwa watapumzika kufanya kazi pamoja kama kundi kwa muda usiojulikana baada ya kufanya kazi pamoja kwa miaka 20.
Sauti Sol kabla ya kutengana watafanya ziara ya dunia ambapo watatumbuiza katika mataifa mbalimbali
Katika taarifa yao waliyoitoa siku ya leo wamesisitiza kwamba urafiki wao kama kundi utaendelea na watashirikiana katika mambo ya biashara.
Kundi pekee east Afrika ambalo halina dalili za kuvunjika hivi karibuni n weusi pekee pamoja na makubwa waliyofanya kwenye industry, wapewe maua yao.
View attachment 2629302