Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Ndio maisha yake binafsi mi sina shida nayo na hakuombwa kuyatangaza.....mambo yake angebaki nayo mwenyewe maana halisi ya (maisha binafsi)Kheeeh yaan chimanoo ajibanee kisa wee Eve kupenda mziki wao? Wee unapenda mziki wao au maisha yao binafsi nje ya mziki?? Mbna unachanganyaaa??
Nweii haiwapunguzii kituu, utawasikiliza wengine waliobako, yeye hizo sio shida zake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]