Sauti Sol kutengana kwa muda usiofahamika, Mashabiki wagoma kuelewa

Sauti Sol kutengana kwa muda usiofahamika, Mashabiki wagoma kuelewa

Nafikiri tungeacha ku judge personality ya mtu mmoja mmoja , ila tu focus kwenye hasara ya muziki kwa ujumla kwani kama Afrika tuta kosa burudani na muziki mzuri kutoka kwao,

Kumbuka hata bongo walisha wahi kuja kufanya show na watu wengi sana walijaa nakumbuka ilikua n pale wearhouse zaman palikuwa nextdoor arena na kiingilio kilikuwa n bei ghali sana ila watu walijaa sana
Lilivunjika TMK Wanaume, East Coast Team n.k hasara gani tutapata sasa mpya?
 
[emoji41], Nafikiri wengi wameathirika na habari za personal life kuliko kazi
Mkuu ukiwa Fan wa mtu au kundi personal life yake sio kitu cha kuangalia? Yaani niwe no 1 fan wa punga? Kisa ni life lake sasa huo ni u fan au upuuzi?
 
Wapo kama Manyumbu wanapelekeshwa huku na kule, ushamba umejaa hii nchi hajulikani msomi nani, kilaza nani wote hali moja,

Nahisi huu moshi wa Mwenge una namna unaathiri akili za Watanzania wengi.
Mkuu kama wewe ni mtetezi wa upinde simamia unachokiamini, kwahiyo usomi mmojawapo ni kuwakingikia kifua hawa majamaa?
 
Anayejua ni huyo wa kulia, mwenye suruali ya Blue. Majina siwajui.

Kama ndiye shoga basi, lakini walau anajua.
 
Huoni kama ni ushamba kuchukizwa na maisha binafsi ya mtu tena mtu asiyekuhusu kidole wala ukucha, yaan unaweka chuki kwa maisha binafsi ya mtu badala ya kuenjoy mziki mzuri!

#Huo ni Ushambaaaaaaa

Btw, hakuna haki ya kibinaadam ya kuchukizwa na maisha binafsi ya mtu, umechemka[emoji28]
Sasa tutegemee Nini kwako LGBTQ mzoefu lazima uwatee , hakuna personal life kama umeamua kuwa public figure yote uyafanyayo yatakuadhari tu
 
Angefirwa kimya sie akaendelea kutupa burudani tu sasa kujitangaza ili iwe nini? Unadhani kwa tusiokubaliana na hilo tutaendelea kupenda mziki wao?? Shida yenu ndio hiyo kutaka kutangaza habari za miknd yenu tumieni kimya muendelee na maisha yenu
Wanajificha ficha mara personal life, mara nn tunawaangalia tu na tunawaelewa kabisa watetezi
 
Back
Top Bottom