Sauti Sol wamekubali kujiunga Freemasons?

Aliywkwambia Mason ni waabudu uchawi ni nani?.. Mason original wala hawana hayo mambo, ni jina mnalitumia vibaya tu... Mason ni club fulani tu yenye uongozi, taratibu na kanuni zao..
 
Naona mdau Katia timu,[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Kila kitu chenye mafanikio ni Freemason peke yake, kwa hiyo tuseme sasa freemason ni wachawi walioendelea, sawa.
Kama hawa ni wachawi wa kiwango cha juu na wanadai kuwa mambo yao ni siri kwanini wanachama wao wanatajwa sana, hilo nalo tuliache pia.

Ila kama wachawi hawa hadi wana treni za kusafirsha misukule wao,kwa hiyo ina maanisha uchawi wa kupaa na ungo, fyagio, kimkeka ni uchawi wa zamani ambao haujaendana na teknolojia ya uchawi wa kisasa.

Unaweza kukuta freemason ni nadharia tu ya kutishana ili watu waogope kupambana ili kupata mafanikio.
 
Hawa jamaa si kwamba hawataki mtu afanye kazi. Bali wanataka mtu afanye kazi kwa kuwategea wao bali selling their souls.
 
Sisi wachawi hilo treni hatulitambui.,fanya research yako vizuri.
 
Ulimwengu unaonekana unamilikiwa asilimia 100 na ulimwengu usionekana, well done!! Plato mwanafalsafa wa kale alisema vinavyoonekana ni "photocopy " ya ulimwengu usioonekana. Nafikiri waliofanikiwa wanajua maujanja ya ulimwengu wa roho.
 
Kweli binadamu tumetofautiana!!

Kama Sauti sol huwaelewi kuna musicians gani wa East Africa unawaelewa mkuu
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ hajui mziki mzuri huyo
 
Freemason wapo sema lawama wanazopewa nahisi nyingine sio za kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…