Sauti Sol wamekubali kujiunga Freemasons?

Sauti Sol wamekubali kujiunga Freemasons?

Aliywkwambia Mason ni waabudu uchawi ni nani?.. Mason original wala hawana hayo mambo, ni jina mnalitumia vibaya tu... Mason ni club fulani tu yenye uongozi, taratibu na kanuni zao..
 
THE MIDNIGHT TRAIN". Kwa tulipata neema ya kuyajua mambo ya kiroho, hili ni garimoshi la wachawi na jamii za siri za kishetani km Freemasons ambao hulitumia kwa ajili ya kwenda kuzimu kufanya mambo yao. Pia treni hili hutumika na wachawi kusafirishia Misukule.

Jr[emoji769]
Naona mdau Katia timu,[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Kila kitu chenye mafanikio ni Freemason peke yake, kwa hiyo tuseme sasa freemason ni wachawi walioendelea, sawa.
Kama hawa ni wachawi wa kiwango cha juu na wanadai kuwa mambo yao ni siri kwanini wanachama wao wanatajwa sana, hilo nalo tuliache pia.

Ila kama wachawi hawa hadi wana treni za kusafirsha misukule wao,kwa hiyo ina maanisha uchawi wa kupaa na ungo, fyagio, kimkeka ni uchawi wa zamani ambao haujaendana na teknolojia ya uchawi wa kisasa.

Unaweza kukuta freemason ni nadharia tu ya kutishana ili watu waogope kupambana ili kupata mafanikio.
 
Kila kitu chenye mafanikio ni Freemason peke yake,kwa hiyo tuseme sasa freemason ni wachawi walioendelea,sawa.
Kama hawa ni wachawi wa kiwango cha juu na wanadai kuwa mambo yao ni siri kwanini wanachama wao wanatajwa sana,hilo nalo tuliache pia.
Ila kama wachawi hawa hadi wana treni za kusafirsha misukule wao,kwa hiyo ina maanisha uchawi wa kupaa na ungo,fyagio,kimkeka ni uchawi wa zamani ambao haujaendana na teknolojia ya uchawi wa kisasa.
Unaweza kukuta freemason ni nadharia tu ya kutishana ili watu waogope kupambana ili kupata mafanikio.
Hawa jamaa si kwamba hawataki mtu afanye kazi. Bali wanataka mtu afanye kazi kwa kuwategea wao bali selling their souls.
 
Ulimwengu unaonekana unamilikiwa asilimia 100 na ulimwengu usionekana, well done!! Plato mwanafalsafa wa kale alisema vinavyoonekana ni "photocopy " ya ulimwengu usioonekana. Nafikiri waliofanikiwa wanajua maujanja ya ulimwengu wa roho.
 
Kila kitu chenye mafanikio ni Freemason peke yake, kwa hiyo tuseme sasa freemason ni wachawi walioendelea, sawa.
Kama hawa ni wachawi wa kiwango cha juu na wanadai kuwa mambo yao ni siri kwanini wanachama wao wanatajwa sana, hilo nalo tuliache pia.

Ila kama wachawi hawa hadi wana treni za kusafirsha misukule wao,kwa hiyo ina maanisha uchawi wa kupaa na ungo, fyagio, kimkeka ni uchawi wa zamani ambao haujaendana na teknolojia ya uchawi wa kisasa.

Unaweza kukuta freemason ni nadharia tu ya kutishana ili watu waogope kupambana ili kupata mafanikio.
Freemason wapo sema lawama wanazopewa nahisi nyingine sio za kweli
 
Back
Top Bottom