Sauti Sol wamekubali kujiunga Freemasons?

Sauti Sol wamekubali kujiunga Freemasons?

Hapana hizi secret society ni akili kubwa sana sisi huku tuna ushirika, majini na mapepo ndio umetubamba

Jr[emoji769]
Lakini bila shaka kuna waafrica ambao wanajihusisha nayo maana pale posta sidhani kama wamepaweka kwa ajili ya foreigners tu na pia kuna thread zamani zilimuonssha kiongozi wa Freemason kanda hii akiwa na presidents wetu. Sisemi ni washirika lakini inaonekana wana influence kwetu kuliko tunavyofikiria.
 
THE MIDNIGHT TRAIN". Kwa tulipata neema ya kuyajua mambo ya kiroho, hili ni garimoshi la wachawi na jamii za siri za kishetani km Freemasons ambao hulitumia kwa ajili ya kwenda kuzimu kufanya mambo yao. Pia treni hili hutumika na wachawi kusafirishia Misukule.

Jr[emoji769]
Mshana hebu tupe maaarifa kidogo....
 
Kila mtu ana haki ya kuabudu akitakacho muhimu asivunje sheria za jamii husika, kama mungu unaemwamini wewe hajaweza kuwapa wanachokitaka acha waabudu kile chenye uwezo wa kuwatimizia wakitakacho kwa wakati wanaoutaka.
 
Tulia...naacha kwanza wa kupinga wapinge weee!!kabla sijashusha jiwe lingine.

Maana naona tayari treni limepata abiria kibao. When I say this thing is more spiritual they don't understand.
 
Abby Newton,
Ujue hata ule mkao wa kukata gogo huku umechuchumaa ni mkao freemason kama hujui tena wakati wanakula viapo.Sasa na jiuliza mwenzetu ukienda kukata gogo unasimama sababu kwa AKILI yako ilivyo ukichuchumaa moja kwa moja wewe ni freemason.

Jaribu kutafakari nje ya box achana na CHAI za freemason hazito kusaidia,unaonekana umejikita kujua vitu vya freemason lkn ukiulizwa mara mwisho kushika biblia au msaafu ni lini hujui.
 
Ujue hata ule mkao wa kukata gogo huku umechuchumaa ni mkao freemason kama hujui tena wakati wanakula viapi.Sasa na jiuliza mwenzetu ukienda kukata gogo unasimama sababu kwa AKILI yako ilivyo ukichuchumaa moja kwa moja wewe ni freemason.

Jaribu kutafakari nje ya box achana na CHAI za freemason hazito kusaidia,unaonekana umejikita kujua vitu vya freemason lkn ukiulizwa mara mwisho kushika biblia au msaafu ni lini hujui.
Kuna hatua za kujiunga, ndio maana nmeweka heading in form of a question. Sometimes mtu anaweza kuunganishwa bila kujua.

Ogopa sana kitu kinachoitwa collaboration au Featuring.Kanumba alipoanza kuigiza na WaNigeria ndipo akajikuta tayari Kawa "Initiated".

And it's very hard to retreat once you are in. God uses people to deliver his WORD the same to SATAN.
 
Mason ndio inatawala dunia. Ila mason wanayoambiwa waswahel ni tofauti kabisa na mason original.

Jr[emoji769]

Asante Sana Kaka Mshana Jr.

Naamini 100% kuwa Freemasonry haiko Kama tunavyoaminishwa. Na ubaya au uzuri wao wameamua kuadapt TOTAL RELIGIOUS TOLERANCE, Yani huwa hawajikezi kujitetea au kupinga dhidi ya tuhuma zinazozushwa dhidi yao.
 
Ukiona MTU anasemwa kafanya vile kwa ajili ya nguvu flani jua amewazidi akili ktk ku-act. Kwanini nawe nguvu unayoiamini isikuinue ukafanyamakubwa!
 
Asante Sana Kaka Mshana Jr.

Naamini 100% kuwa Freemasonry haiko Kama tunavyoaminishwa. Na ubaya au uzuri wao wameamua kuadapt TOTAL RELIGIOUS TOLERANCE, Yani huwa hawajikezi kujitetea au kupinga dhidi ya tuhuma zinazozushwa dhidi yao.
Kukaa kimya ni jibu la kikatili .Ni jibu la mtu makini na mwenye akili nyingi.

Kukaa kimya kunasababisha watu waliotoa shutuma kuishia kugawanyika kama shutuma ni za kweli au uongo.

Hivyo sishangai wakikaa kimya maana hawa jamaa wana akili nyingi sana na ni wakatili vile vile.
 
Screenshot_20200606-132817.png
wewe endelea na majungu.. acha watu tupige mziki mzuri
 
Back
Top Bottom