kichwa kikubwa
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 2,273
- 1,703
😀Unaposema "wamekubali kujiunga "; kwani waliwahi kukataa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😀Unaposema "wamekubali kujiunga "; kwani waliwahi kukataa?
Lakini bila shaka kuna waafrica ambao wanajihusisha nayo maana pale posta sidhani kama wamepaweka kwa ajili ya foreigners tu na pia kuna thread zamani zilimuonssha kiongozi wa Freemason kanda hii akiwa na presidents wetu. Sisemi ni washirika lakini inaonekana wana influence kwetu kuliko tunavyofikiria.Hapana hizi secret society ni akili kubwa sana sisi huku tuna ushirika, majini na mapepo ndio umetubamba
Jr[emoji769]
Mshana hebu tupe maaarifa kidogo....THE MIDNIGHT TRAIN". Kwa tulipata neema ya kuyajua mambo ya kiroho, hili ni garimoshi la wachawi na jamii za siri za kishetani km Freemasons ambao hulitumia kwa ajili ya kwenda kuzimu kufanya mambo yao. Pia treni hili hutumika na wachawi kusafirishia Misukule.
Jr[emoji769]
Guys this is too spiritual, Only spiritual people will agree with me. Next time I will with thread "Where does the name Diamond Platinumz" came from.
I agree with youGuys this is too spiritual, Only spiritual people will agree with me. Next time I will with thread "Where does the name Diamond Platinumz" came from.
Tulia...naacha kwanza wa kupinga wapinge weee!!kabla sijashusha jiwe lingine.Kila mtu ana haki ya kuabudu akitakacho muhimu asivunje sheria za jamii husika, kama mungu unaemwamini wewe hajaweza kuwapa wanachokitaka acha waabudu kile chenye uwezo wa kuwatimizia wakitakacho kwa wakati wanaoutaka.
Kuna hatua za kujiunga, ndio maana nmeweka heading in form of a question. Sometimes mtu anaweza kuunganishwa bila kujua.Ujue hata ule mkao wa kukata gogo huku umechuchumaa ni mkao freemason kama hujui tena wakati wanakula viapi.Sasa na jiuliza mwenzetu ukienda kukata gogo unasimama sababu kwa AKILI yako ilivyo ukichuchumaa moja kwa moja wewe ni freemason.
Jaribu kutafakari nje ya box achana na CHAI za freemason hazito kusaidia,unaonekana umejikita kujua vitu vya freemason lkn ukiulizwa mara mwisho kushika biblia au msaafu ni lini hujui.
Mason ndio inatawala dunia. Ila mason wanayoambiwa waswahel ni tofauti kabisa na mason original.
Jr[emoji769]
Kukaa kimya ni jibu la kikatili .Ni jibu la mtu makini na mwenye akili nyingi.Asante Sana Kaka Mshana Jr.
Naamini 100% kuwa Freemasonry haiko Kama tunavyoaminishwa. Na ubaya au uzuri wao wameamua kuadapt TOTAL RELIGIOUS TOLERANCE, Yani huwa hawajikezi kujitetea au kupinga dhidi ya tuhuma zinazozushwa dhidi yao.