Sauti Sol wamekubali kujiunga Freemasons?

Sauti Sol wamekubali kujiunga Freemasons?

Kila kitu chenye mafanikio ni Freemason peke yake, kwa hiyo tuseme sasa freemason ni wachawi walioendelea, sawa.
Kama hawa ni wachawi wa kiwango cha juu na wanadai kuwa mambo yao ni siri kwanini wanachama wao wanatajwa sana, hilo nalo tuliache pia.

Ila kama wachawi hawa hadi wana treni za kusafirsha misukule wao,kwa hiyo ina maanisha uchawi wa kupaa na ungo, fyagio, kimkeka ni uchawi wa zamani ambao haujaendana na teknolojia ya uchawi wa kisasa.

Unaweza kukuta freemason ni nadharia tu ya kutishana ili watu waogope kupambana ili kupata mafanikio.
Music wowote wa kidunia ( Secular music)ni haramu mbele za Mungu.Wanasanii wote wa kidunia waanaimba kusifu kombe, mapenzi,na fedha.

Duniani kuna talanta za aina 2 tu za Mungu na za shetani.Music wa dunia ni talanta ya shetani. Kwahiyo hata km wamefanikiwa vp, km mafanikio yao hayatoki kwa Mungu ni bure tu. Najua ndani ya hili jukwaa ni ngumu kueleweka labda ingekuwa kule kwenye jukwaa la dini.
 
mimi mwenyewe sikutegemea ukutana na comment kama ile 😃😃
Inaitwa expect the unexpected. Ingawq najua kila mtu ana taste tofauti ya music ila kusema hujui umaarufu wa sauti sol unatokea wapi ni zaidi ya habari kaka 😁
 
Inaitwa expect the unexpected. Ingawq najua kila mtu ana taste tofauti ya music ila kusema hujui umaarufu wa sauti sol unatokea wapi ni zaidi ya habari kaka 😁
😃😃 unaweza kusema kwamba haumpendi messi na watu wakakuelewa ila ukisema kwamba haumpendi kwa sababuhajui kucheza mpira itakuwa ni zaidi ya habari kweli😃😃😃
 
😃😃 unaweza kusema kwamba haumpendi messi na watu wakakuelewa ila ukisema kwamba haumpendi kwa sababuhajui kucheza mpira itakuwa ni zaidi ya habari kweli😃😃😃
Ahhh sasa hilo litakuwa ni ombi la kifo maana watu wanajua na wana die hard fans. Ukimgusa jiandae 😅
 
Music wowote wa kidunia ( Secular music)ni haramu mbele za Mungu.Wanasanii wote wa kidunia waanaimba kusifu kombe, mapenzi,na fedha.

Duniani kuna talanta za aina 2 tu za Mungu na za shetani.Music wa dunia ni talanta ya shetani. Kwahiyo hata km wamefanikiwa vp, km mafanikio yao hayatoki kwa Mungu ni bure tu. Najua ndani ya hili jukwaa ni ngumu kueleweka labda ingekuwa kule kwenye jukwaa la dini.
na haueleweki kweli aisee...
 
Kabisa mkuu toka enzi za coming home hawajawahi kuniangusha na wanapiga genre tofauti.
Kwa term hii naona wamekuja kiold school, ngoja nipige kwanza extravaganza 😊😊
yeeh hiyo ngoma ni balaa....
 
Asante Sana Kaka Mshana Jr.

Naamini 100% kuwa Freemasonry haiko Kama tunavyoaminishwa. Na ubaya au uzuri wao wameamua kuadapt TOTAL RELIGIOUS TOLERANCE, Yani huwa hawajikezi kujitetea au kupinga dhidi ya tuhuma zinazozushwa dhidi yao.
Unajua ni kwa vile tayari wako next level beyond normal thinking ya wengi wetu tuliofungwa kwenye nira za kiimani na utaifa

Jr[emoji769]
 
Unajua ni kwa vile tayari wako next level beyond normal thinking ya wengi wetu tuliofungwa kwenye nira za kiimani na utaifa

Jr[emoji769]
Hawako next level zaidi ya Mungu. Mungu akiamua kuwafunua na kuweka hadharani siri zao hakuna wa kumzuia. Km shetani mwenyewe anasujudu mbele za Mungu sembuse hawa vibaraka?

Ndio maana nimesema toka mwanzo this requires some spiritual energy to know these secrets la sivyo mtaishia kusema haiwezekani haiwezekani.

Nimefuatilia wengi wanawaza kibinadamu sana. Wanazani kila kitu Mshana anajua. Ni hatari kufikiri eti hawa jamaa upeo wao hauchunguziki hapo ni sawa na ku surrender vitani. God can reveal anything to his chosen one.
 
Hapana hizi secret society ni akili kubwa sana sisi huku tuna ushirika, majini na mapepo ndio umetubamba.

Jr[emoji769]
Umeongea fact. Afrika nadhani secret society labda Afrika Kusini. The rest ni uchawi wa tunguli na majini.
 
Umeongea fact. Afrika nadhani secret society labda Afrika Kusini. The rest ni uchawi wa tunguli na majini.
MWILI wa aliyekuwa Kiongozi wa Jumuiya ya Freemason Tanzania na Afrika Mashariki, Sir Jayantilal Keshavji Chande (89) ‘Andy’ Chande, umewasili juzi kutoka jijini Nairobi nchini Kenya alipokuwa akipatiwa matibabu.

Taarifa hii ni ya mwaka 2017.
Endeleeni kusema Tanzania hakuna Freemason mnajidanganya.
Sir-Andy-CHande.jpg
 
Ila hizi habari za freemason kuna kipindi zilikiki sana yaani hata platnumz walisema tayari kashaingia
Hakuna Freemason, ni Idea ya kutungwa tu kama ilivyo habari ya Vampires na Aliens

Ujinga tu
 
Back
Top Bottom