Magari ya kukodisha
JF-Expert Member
- Sep 16, 2019
- 412
- 695
Huyo uliyemtag ni mchovu tu ila kajijengea coverage kubwa...Ngoja akina Mshana Jr waje
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo uliyemtag ni mchovu tu ila kajijengea coverage kubwa...Ngoja akina Mshana Jr waje
Music wowote wa kidunia ( Secular music)ni haramu mbele za Mungu.Wanasanii wote wa kidunia waanaimba kusifu kombe, mapenzi,na fedha.Kila kitu chenye mafanikio ni Freemason peke yake, kwa hiyo tuseme sasa freemason ni wachawi walioendelea, sawa.
Kama hawa ni wachawi wa kiwango cha juu na wanadai kuwa mambo yao ni siri kwanini wanachama wao wanatajwa sana, hilo nalo tuliache pia.
Ila kama wachawi hawa hadi wana treni za kusafirsha misukule wao,kwa hiyo ina maanisha uchawi wa kupaa na ungo, fyagio, kimkeka ni uchawi wa zamani ambao haujaendana na teknolojia ya uchawi wa kisasa.
Unaweza kukuta freemason ni nadharia tu ya kutishana ili watu waogope kupambana ili kupata mafanikio.
Inaitwa expect the unexpected. Ingawq najua kila mtu ana taste tofauti ya music ila kusema hujui umaarufu wa sauti sol unatokea wapi ni zaidi ya habari kaka 😁mimi mwenyewe sikutegemea ukutana na comment kama ile 😃😃
😃😃 unaweza kusema kwamba haumpendi messi na watu wakakuelewa ila ukisema kwamba haumpendi kwa sababuhajui kucheza mpira itakuwa ni zaidi ya habari kweli😃😃😃Inaitwa expect the unexpected. Ingawq najua kila mtu ana taste tofauti ya music ila kusema hujui umaarufu wa sauti sol unatokea wapi ni zaidi ya habari kaka 😁
Ahhh sasa hilo litakuwa ni ombi la kifo maana watu wanajua na wana die hard fans. Ukimgusa jiandae 😅😃😃 unaweza kusema kwamba haumpendi messi na watu wakakuelewa ila ukisema kwamba haumpendi kwa sababuhajui kucheza mpira itakuwa ni zaidi ya habari kweli😃😃😃
na haueleweki kweli aisee...Music wowote wa kidunia ( Secular music)ni haramu mbele za Mungu.Wanasanii wote wa kidunia waanaimba kusifu kombe, mapenzi,na fedha.
Duniani kuna talanta za aina 2 tu za Mungu na za shetani.Music wa dunia ni talanta ya shetani. Kwahiyo hata km wamefanikiwa vp, km mafanikio yao hayatoki kwa Mungu ni bure tu. Najua ndani ya hili jukwaa ni ngumu kueleweka labda ingekuwa kule kwenye jukwaa la dini.
😃😃😃 sauti soul wanaimba bwana wale ni mavocalist wanajua haswaaAhhh sasa hilo litakuwa ni ombi la kifo maana watu wanajua na wana die hard fans. Ukimgusa jiandae 😅
Kabisa mkuu toka enzi za coming home hawajawahi kuniangusha na wanapiga genre tofauti.😃😃😃 sauti soul wanaimba bwana wale ni mavocalist wanajua haswaa
yeeh hiyo ngoma ni balaa....Kabisa mkuu toka enzi za coming home hawajawahi kuniangusha na wanapiga genre tofauti.
Kwa term hii naona wamekuja kiold school, ngoja nipige kwanza extravaganza 😊😊
sanaa mule wameimba na vibe ya old school ndo ikapendeza zaidiyeeh hiyo ngoma ni balaa....
Unajua ni kwa vile tayari wako next level beyond normal thinking ya wengi wetu tuliofungwa kwenye nira za kiimani na utaifaAsante Sana Kaka Mshana Jr.
Naamini 100% kuwa Freemasonry haiko Kama tunavyoaminishwa. Na ubaya au uzuri wao wameamua kuadapt TOTAL RELIGIOUS TOLERANCE, Yani huwa hawajikezi kujitetea au kupinga dhidi ya tuhuma zinazozushwa dhidi yao.
Nitakosaje hapa kwa mfanoNaona mdau Katia timu,[emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23]wachawi wa wapiSisi wachawi hilo treni hatulitambui.,fanya research yako vizuri.
ni mchovu tu [emoji848][emoji40][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyo uliyemtag ni mchovu tu ila kajijengea coverage kubwa...
Hawako next level zaidi ya Mungu. Mungu akiamua kuwafunua na kuweka hadharani siri zao hakuna wa kumzuia. Km shetani mwenyewe anasujudu mbele za Mungu sembuse hawa vibaraka?Unajua ni kwa vile tayari wako next level beyond normal thinking ya wengi wetu tuliofungwa kwenye nira za kiimani na utaifa
Jr[emoji769]
Umeongea fact. Afrika nadhani secret society labda Afrika Kusini. The rest ni uchawi wa tunguli na majini.Hapana hizi secret society ni akili kubwa sana sisi huku tuna ushirika, majini na mapepo ndio umetubamba.
Jr[emoji769]
MWILI wa aliyekuwa Kiongozi wa Jumuiya ya Freemason Tanzania na Afrika Mashariki, Sir Jayantilal Keshavji Chande (89) ‘Andy’ Chande, umewasili juzi kutoka jijini Nairobi nchini Kenya alipokuwa akipatiwa matibabu.Umeongea fact. Afrika nadhani secret society labda Afrika Kusini. The rest ni uchawi wa tunguli na majini.
Hakuna Freemason, ni Idea ya kutungwa tu kama ilivyo habari ya Vampires na AliensIla hizi habari za freemason kuna kipindi zilikiki sana yaani hata platnumz walisema tayari kashaingia