Sauti ya KIGOGO katika Space ya Maria Sarungi ina lafudhi ya Iringa to Mbeya

Inawezekana jamaa haishi Tanzania. Ile sauti inavyosikika vizuri, kama anafanya kazi serikalini anaofanya nao kazi rahisi kumfahamu
 
Kigogo atakuwa ni Kiranga bila shaka maana jamaa akili zao zinafanana. (high level)

Kusema ni lichalamila acha kumpaisha yule mhehe hana akili nyingi kiasi hicho.
 
Kama ana lafudhi ya Iringa basi atakuwa ni Mzee Mgaya bila shaka! Kwa jina lingine hujiita johnthebaptist!

Huyu Mzee naye ni akili kubwa sana 🥵 na anatuwakilisha vizuri sana sisi wakazi wa Nyanda za Juu Kusini humu JF na pia huko Twitter akitumia hilo jina la kigogo
 
Ile siyo voice yake anatumia filter unazani limbukeni aongee na voice yake? Anatumia app za kubadilisha sauti
 
Ila sidhani huyo aliyeongea ndio anaye twiti. Yule wa twita uandishi wake na huyo aliyeongea ni kariba tofauti kabisa. Sauti inaonesha ni mtu mzima lakini yule wa twita ni mid 40s tena inaonesha ni born town si huyo aliyeongea.

All in all ameongea facts tupu! Kuna ukichaa tunahitaji kukomboa hili Taifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…